Napinga Njama zozote za kuwarejesha Wasaliti Chadema akiwemo Dkt Slaa na Halima Mdee, Walishafukuzwa na Baraza Kuu

Tatizo lako ukiwa mjinga kila umuonaye unafikiri ni mjinga mwenzio
Habari za Leo muelevu, umeelevusha wangapi Leo!!? Ha hahahaha 🤣 😂 🤣
====
Baada ya miezi sita uje usome Tena mabandiko yako kwenye uzi huu. Na ujitafakari kimya kimya!
 
Habari za Leo muelevu, umeelevusha wangapi Leo!!? Ha hahahaha 🤣 😂 🤣
====
Baada ya miezi sita uje usome Tena mabandiko yako kwenye uzi huu. Na ujitafakari kimya kimya!
Unajichekesha kama chizi aliyeona jalala jipya, na machawa yote ya CCM kichwani ni empty
 
Sijui umesimamia wapi. Mmoja umemwita shetani mpya. Mwingine umemwita makengeza. Aiseee! Hata kama hakujui lakini vua unyama huo na uvae ubinadamu. Maadam upo duniani, usijivunie uzima wa viungo maana lolote linaweza kukutokea.
 
Kiukweli watu wengi hawajui kilichotokea,ila hata TAL anajua kilichotokea pale............ Ila mtawasema vibaya hawa COV 19,vipi nikisema walitekwa?
 
Afadhali slaa anaweza kusameheka lakini not those 19 hyenas
 
Wewe Umechanganyikiwa Timu MBOWE, Marehemu Ameshafariki, na Keshazikwa- Mnamuwekea Marehemu Matanga MWAKA Mzima? Kubalini Matokeo Msiba Ushakwisha, Pombe za Bule na NYAMA Choma za Dj Mbowe ndio Zinawazuzua, Mfuate nyumbani kwake kama unampenda Sana
 
Muogope Mungu Mkuu, aliyechanganyikiwa anawezaje kukumbuka hadi Vifungu vya katiba ya Chadema?
 
Dr Slaa hakuisaliti Chadema bali viongozi wa Chadema ndio walimsaliti Dr Slaa.. Nitarudi Chadema na kuwa mwanachama mtiifu na mwaminifu endapo Dr Slaa atarudi Chadema..
 
Heshima? Kwa mujibu wako ni sawa. Yeye atabaki kuwa msaliti kama wasaliti wengine. Ukikimbia uwanaja wa vita wewe ni msaliti tu, na hakuna jina jngine la kuupamba usaliti huo.
Mliuza chama bei gani kwa EL?

Neno usaliti mnaelewa maana yake vijana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…