Sawa kbsamimi mwenyewe nilivyosikia amealikwa sikupenda
pia hata mimi nikimsikia kwenye radio na tv nazima ili nisimsikie toka saga la DP
Lakini ninachopingana na wewe ni kusema Rais amejialika NAKATAA KABISA
Simba yetu ndio imemualika kwa hiyo ni utafutaji misifa wa viongozi wa timu yetu
Hiyo bandari hata wakupe utaifanyia nini?
Bandari imekuwepo toka uhuru tija yake hamna
Ni kuiba tu
Mama ni Rais wa wote acha akafurahi na makolo nae ni wake hata kama ni mbumbumbu
Acha ujinga Kaka ,acha ujingaa mm inaniuma san hi bandari kwenda kwa hao wendawazimu
Sent using Jamii Forums mobile app
IPO siku utakujakumjuwa huyu mam halitakii hili taifa memaMnafki mbwa we, huyu ni rais anayependwa na raia zaidi ya 95%. Yuko midomoni mwa watu muda wote. Ushahidi fuatlia taarifa za habari za TV zote, siyo wa vijiiini au wa mijini. Kila mara utasikia tunamshukuru mama yetu au tunaomba mama atusaidie ktk hili na anawasaidia. Sasa ngedere km wewe una impact gani, mpaka 2030 mtakuwa mmeshakufa kwa sonona
Dr. Andika vizuri kwanza.Siungi mkondo hoja.
Huu ndio ukweli.Mnafki mbwa we, huyu ni rais anayependwa na raia zaidi ya 95%. Yuko midomoni mwa watu muda wote. Ushahidi fuatlia taarifa za habari za TV zote, siyo wa vijiiini au wa mijini. Kila mara utasikia tunamshukuru mama yetu au tunaomba mama atusaidie ktk hili na anawasaidia. Sasa ngedere km wewe una impact gani, mpaka 2030 mtakuwa mmeshakufa kwa sonona
Huko kwenu Zenji mnampenda ila huku kwetu bara hakuna kitu kama hicho hasa hasa hili saga la DP ndio limeharibu kila kituHuu ndio ukweli.
Kama vipi jinyonge tujue unapinga kweli.Naona kabisa gang imeona imeporomoka ndani ya miezi miwili mfululizo na hili ni kutokana na kashfa ya bandari, sasa wameona sehemu ya kuja kutafuta umarufu wake ulioporomoka ni kulazimisha kuhudhuria Sherehe ya Simba ili kumsafisha na kashfa zinazomkabili za kuingia mkataba wa hovyo wa kubinafsisha bandari kwa Waarabu wa DP World.
Ukijaribu kucheki kwa jicho la tatu ni dhahiri shahiri kuwa hii amelazimisha kujialika ili wananchi kupitia vilabu vyao vya Simba na Yanga wamuone mwema na mpenda mpira kumbe siyo kweli, anakuja kujisafisha na kujipendekeza kwa wananchi kupitia Wanasimba.
Wanasimba natoa rai, pindi akiingia uwanjani tokeni wote nje ili kuonesha kuwa mnakasirishwa na jinsi anavyoendesha serekali na kudhoofisha uchumi na vitendo vya kiufisadi kuendelea kushamiri katika taifa hili.
Mimi sijawahi kudhani kama Rais huyu atakuja kunivuruga akili yangu. Kila nikisikia anaongea nazima redio au television nisimsikie kabisa. Nimechukizwa na jinsi anavyowakumbatia mafisadi na kudhoofisha uchumi
Mshana Jr anakuambia jicho la tatu lipo usoni sina hakika na hiliWabongo bhana,kila mtu utasikia "Ukiliangalia jambo hili kwa jicho la tatu''
Hilo jicho la tatu kwanini usilitumie kubadilisha maisha yako na ya ukoo wako kwanza?