Napinga Saido kuondolewa simba

Napinga Saido kuondolewa simba

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
“Saido ni mfungaji bora Simba kwa misimu miwili mfululizo. Napinga Saido kuondoka isipokuwa angeongezewa mkataba na wakasajili mtu mwingine ambaye ana ubora zaidi wakawa wanashirikiana na Saido.” — Edo Kumwembe.

#FutbalPlanetUpdates
1718786397572.jpg
 
Simba ni taasisi, Ina taratibu zake za utendaji ikiwemo utoaji taarifa. Siyo Kila kauli ichukuliwe ni msimamo wa Simba na timu inasajiliwa kutokana na ripoti na malengo ya timu.
Kauli ya Eddo Kumwembe ni mtazamo wake binafsi.
 
Msimkele kabla hamjamwambia amechangia mabao mangapi Kwa Simba ni mechi ngapi alizibeba mikononi mwake

Je nani Sasa atakayekuja kuziba nafasi yake

Hafu anaendo costal Kila mkikutana naye lzm awafunge
 
Lkn jamaa ni professional kwenye hii football career...so yawezekana akawa sahihi
 
Msimkele kabla hamjamwambia amechangia mabao mangapi Kwa Simba ni mechi ngapi alizibeba mikononi mwake

Je nani Sasa atakayekuja kuziba nafasi yake

Hafu anaendo costal Kila mkikutana naye lzm awafunge
Kitaumana....Saido ni mtu sana
 
Yanga wamchukue atawasaidia sana.
Ni mzuri kuliko Bodaboda boy Waridi
 
Back
Top Bottom