Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asiwatibuwe vuziii😀😀Usitutibue...
mzee umevuta cha Arusha...Asiwatibuwe vuziii😀😀
Cha Malawi.mzee umevuta cha Arusha...
Naona mzee baba...Cha Malawi.
Lkn jamaa ni professional kwenye hii football career...so yawezekana akawa sahihiSimba ni taasisi, Ina taratibu zake za utendaji ikiwemo utoaji taarifa. Siyo Kila kauli ichukuliwe ni msimamo wa Simba na timu inasajiliwa kutokana na ripoti na malengo ya timu.
Kauli ya Eddo Kumwembe ni mtazamo wake binafsi.
Kitaumana....Saido ni mtu sanaMsimkele kabla hamjamwambia amechangia mabao mangapi Kwa Simba ni mechi ngapi alizibeba mikononi mwake
Je nani Sasa atakayekuja kuziba nafasi yake
Hafu anaendo costal Kila mkikutana naye lzm awafunge