Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Hii amani unayoiona na yenye kutuwezesha kuwasiliana humu jukwaani chanzo chake ni nguvu za Mungu. Chanzo chake ni nchi kukabidhiwa mikononi mwa Mungu tangu tarehe 8 Desemba 1961. Huo ndio umuhimu wa wale viongozi wa dini uliowaona ndani ya ule ukumbi.Kwa mtazamo wako upo sahihi kulingana na mfumo unakuendesha (siujui) Ukweli viongoziozi wa dini wanao jielewa hawawezi kujiingiza katika mambo ya vyama (mambo ya hovyo) tuweni wa kweli hao viongozi wamepotoka.
We jamaa ni muongo sana !Hii amani unayoiona na yenye kutuwezesha kuwasiliana humu jukwaani chanzo chake ni nguvu za Mungu. Chanzo chake ni nchi kukabidhiwa mikononi mwa Mungu tangu tarehe 8 Desemba 1961. Huo ndio umuhimu wa wale viongozi wa dini uliowaona ndani ya ule ukumbi.
Kuna nchi za kiafrika hazina bahati ya kuwaona marais wastaafu wakipiga picha ya pamoja wakiwa wanacheka na kufurahi. Viongozi wa kidini wana nguvu za ndani ya nafsi zao na zile nguvu za nje, ni watu muhimu sio wa kuwadharau.
Ukikua utaelewa ninaongea nini.We jamaa ni muongo sana !
Huna loloteUkikua utaelewa ninaongea nini.
Wewe ndio hujui lolote, unadhani amani tuliyonayo imeota kama vile maembe yanavyoota.Huna lolote
Hivi mbona mnapambana Sana kupamba kitu kisichopambika? Mnampa Sifa TL aszistahili mbona kuliko Iππ€£π! Au ndio mahaba niue hayoππ€£π! Anyway, nawapa pole Sana kwa aibu ya mwaka inayoamza kuwapata! Mbowe katimuliwa na wapiga kura, huyo robot wenu TL naye Sasa hivi wameshaanza kumtumua wapiga kura maana wameshamshitukia na ukibaraka wakeππ€£π! Hamna sera na Wana Hamna kitu Cha kuonyesha mlichofanya kwa manufaa ya nchi yetu lakini bahati yenu mbaya mna Kila kitu kubaya mlichofanya kutuhujumu nchi yetu...na wanchi wanatambuaπ€! Na kwa bahati yenu mbaya Hamna hekima ya kuchutamaπ!Kimbunga cha LISSU kimefunua nyeti za kuku watamuita hadi yesu feki yule alikuja Kenya kwamba amerudi duniani kuunga mkono juhudi.
Mwisho watamwita na shetani ndugu yao
Hivi CHADEMA wangefanya hivyo si watu mapovu yangewatoka! Lakini acha wafanye tu. Hao viongozi wa dini kwa kuwa wamepewa chai na kitu kidogo hata kama wakipigia kura CCM haitawasaidia. Sisi waumini wenye idadi ya mamilioni ndo tuna kura nyingi. Tunajua wa kumpigia.Utaafiki hivyo hivyo kama viongozi wa dini watakusanyika Kwa lengo la kuelezea mabaya ya serikali ya awamu ya 5?
Viongozi wa dini kwa nafasi zao wanapaswa kuunga mkono au kukosoa serikali, napinga hili la kukusanyika kwa ajili ya hilo!
Legacy inalindwa kwa mtutu !Haya mafanikio ya Rais hayaonekani kwa macho mpaka yanadiwe?
Lazima upate kiharusi safari hii.....Taarifa hii imetolewa na Alhaji Musa Salum ambaye ni Sheikh wa Bakwata wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwamba eti viongozi wa dini wanatarajia kukutana tarehe 30 July jijini kwa lengo la kuelezea mafanikio ya serikali ya awamu ya 5!
Taarifa inazidi kueleza kwamba Mgeni Rasmi atakuwa Waziri Mkuu ndugu Kassim Majaliwa.
Tangu lini viongozi wa dini wakawa wasemaji wa serikali? Hii mbona ni siasa ya kiwango cha chini sana! Sasa tukisema hawa viongozi njaa wa dini wakiwemo maaskofu kadhaa walioshuka hadhi wanatumika tutakuwa tunakosea?
Tutahakikisha tunahamasisha wananchi kupuuza kila kitakachojadiliwa na hawa mamluki bila kuchoka.
ππππLegacy inalindwa kwa mtutu !
πππ Imeisha hiyo ! Aliyeabudiwa yuko wapi sasa ?Lazima upate kiharusi safari hii.....
manake kichapo kinaendelea kuharibu mudi yako
Uzi huu ulimzima vibaya sana , jambo lile lilipuuzwa vibaya mno na wananchiHuyu shekhe azimwe mapema maana hajitambui na hajui kwamba uongozi umebadilika na anataka kuleta uchochezi