hujui_sijui
Member
- Apr 19, 2020
- 34
- 8
Hujui........Ahaaa! Mbona hapo viongozi hao wa dini wapo kwenye vikao vya upinzani?.....sijui.......uzuri wa nchi yetu haina ubaguzi. 'KWANI KUNYA ANYE KUKU, AKINYA BATA.......'Povu lote Hili la Nini! Kila mtu sio mlisema apewe haki ya Uhuru wa kujieleza! Sasa Uhuru si ndio huu, au mie sijui maana yake!? Ninyi mnaojiita wapinzani ni wanafiki kuliko maelezo, na Kama mngepewa mamlaka naona hakuna ambaye angeruhusiwa kufanya myafanyayo! Aibu yenu!
Taarifa hii imetolewa na Alhaji Musa Salum ambaye ni Sheikh wa Bakwata wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwamba eti viongozi wa dini wanatarajia kukutana tarehe 30 July jijini kwa lengo la kuelezea mafanikio ya serikali ya awamu ya 5!
Taarifa inazidi kueleza kwamba Mgeni Rasmi atakuwa Waziri Mkuu ndugu Kassim Majaliwa.
Tangu lini viongozi wa dini wakawa wasemaji wa serikali? Hii mbona ni siasa ya kiwango cha chini sana! Sasa tukisema hawa viongozi njaa wa dini wakiwemo maaskofu kadhaa walioshuka hadhi wanatumika tutakuwa tunakosea?
Tutahakikisha tunahamasisha wananchi kupuuza kila kitakachojadiliwa na hawa mamluki bila kuchoka.
Kukemea na kufundisha ni kazi ya kiongozi wa dini siyo kusifia.Mbona maaskofu wakikemea unakuwaga wa kwanza kuanzisha uzi humu kusifia.
Unataka mambo yanayokufurahisha tu ndo yatendeke. Tengeneza dunia yako!
Mpumbavu ukimtwanga kinuni pamoja na ngano, ngano inaiva lakini upumbavu wake hauta mtoka.Haya mafanikio ya Rais hayaonekani kwa macho mpaka yanadiwe?
Mwache tu adhihirishe ujinga wake.Mbona maaskofu wakikemea unakuwaga wa kwanza kuanzisha uzi humu kusifia.
Unataka mambo yanayokufurahisha tu ndo yatendeke. Tengeneza dunia yako!
Mashehe wa bakwata wamo kwenye payroll ya serikali na ccmNaona zinatumika nguvu nyingi sana kupamba hii awamu,yaani utadhani nchi inapaa angani kwa mafanikio kumbe kawaida tu.Nchi bado ina changamoto kibao wanakosa muda na akili zakuisaidia serikali hili iendelee kupambana nazo wao wamekali kusifu nakupamba.
Unatumia nini kufikiri?Nyie si mnaye Bagonza?
Musa Salum unachotakiwa kufanya ni kuelezea Mafanikio ya Mafundisho ya Mtume Muhammad
ujinga upi ? Musa Salum ndio Hassan Abbas ?Mwache tu adhihirishe ujinga wake.
Dk. Bagonza ndio Tumaini Makene?ujinga upi ? Musa Salum ndio Hassan Abbas ?
ujinga upi ? Musa Salum ndio Hassan Abbas ?
Haihusiani hata chembeDk. Bagonza ndio Tumaini Makene?
Na wewe ita wale mnaowaita wanajitambua nao waseme vitu ambavyo havikufanyika kwani kosa liko wapi?Taarifa hii imetolewa na Alhaji Musa Salum ambaye ni Sheikh wa Bakwata wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwamba eti viongozi wa dini wanatarajia kukutana tarehe 30 July jijini kwa lengo la kuelezea mafanikio ya serikali ya awamu ya 5!
Taarifa inazidi kueleza kwamba Mgeni Rasmi atakuwa Waziri Mkuu ndugu Kassim Majaliwa.
Tangu lini viongozi wa dini wakawa wasemaji wa serikali? Hii mbona ni siasa ya kiwango cha chini sana! Sasa tukisema hawa viongozi njaa wa dini wakiwemo maaskofu kadhaa walioshuka hadhi wanatumika tutakuwa tunakosea?
Tutahakikisha tunahamasisha wananchi kupuuza kila kitakachojadiliwa na hawa mamluki bila kuchoka.
Kibaya chajiuza
umesikia hao wameitisha kongamano kuipongeza chadema ?Na wewe ita wale mnaowaita wanajitambua nao waseme vitu ambavyo havikufanyika kwani kosa liko wapi?
Kuna bagonza shoo niwemugizi na wengine na yule wa morogoro aliekosa uteuzi nao waseme mapungufu ya srikari hii.
Sitaki kumuona, sababu anaweza kuleta maneno ya uongo nikabadilisha mapenzi yangu kwa CCM.Kwa kuwa nilikuwa Kiongozi Chadema mabadiliko yangu siwezi kurudi nyuma. Naifahamu Chadema na uongozi vizuri sana.Mkuu kama umelogwa mcheki Mshana Jr kwa PM akusaidie
Ikiwezekana washauri wafanye hivyo, pia ujue hawakuesa wanaipongeza CCM bali ni serikari amabayo pengine na wewe ni mtendaji ila uko chadema.umesikia hao wameitisha kongamano kuipongeza chadema ?