Napinga wazo la Muziki wa Singeli kusambazwa duniani

Napinga wazo la Muziki wa Singeli kusambazwa duniani

Ccm ndio mtaji wa wajinga kwa vile wimbi kubwa la vichaa,wavuta bangi,vijana wengi wa uswahilini walikosa maisha na ajira ni wasikiliza singeri wengi.
Ili kutumia fursa hii lazima watumie ili sio kusambaza maparachichi au matunda dunia ili vijana waongeze nguvu za kulima.
Na tutakapoupoeleka huko ndio tutaonekana shithole country kwelikweli
 
Mwendo wa kuzibuana mitaro
Hao wadada wakipimwa wote hawana marinda
Singeli inahamasisha san watu wafukuane mitaro

Ova
Huu mziki ni wa kijinga nashangaa Waziri kutamka kuupeleka huko duniani
 
Genre gani ya mziki isiyo na lugha mbaya? Singeli ni kelele tu nonetheless.
 
Dah nikisikilizaga Singeli lazimaa nisikitime kwa kweli,apa Proffessor majalala alibugi aisee,
Kwa maadali ya sasa naa baadae..
 
Dah nikisikilizaga Singeli lazimaa nisikitime kwa kweli,apa Proffessor majalala alibugi aisee,
Kwa maadali ya sasa naa baadae..
Kabugi sana,kama ndio wanatafuta kura kw staili hii hapana aisee
 
YouTube walinipa onto kabla ya kuangalia video
 

Attachments

  • IMG_20250306_212915.jpg
    IMG_20250306_212915.jpg
    144.9 KB · Views: 1
Back
Top Bottom