Na tutakapoupoeleka huko ndio tutaonekana shithole country kwelikweliCcm ndio mtaji wa wajinga kwa vile wimbi kubwa la vichaa,wavuta bangi,vijana wengi wa uswahilini walikosa maisha na ajira ni wasikiliza singeri wengi.
Ili kutumia fursa hii lazima watumie ili sio kusambaza maparachichi au matunda dunia ili vijana waongeze nguvu za kulima.
Yaani ni aibu Mzee kama yule kusema Singeli ni mziki wa kututambulishaUkute Kabudi kaingizwa chaka tu na washauri wake, labda hata hajui vizuri kuhusu Singeli..
View: https://youtube.com/watch?v=WS-CMFpaU4c&si=tEs59GNfVQtIfiIe
Dah nikisikilizaga Singeli lazimaa nisikitike kwa kweli,apa Proffessor majalala alibugi aisee,
Kwa maadali ya sasa naa baadae..