Napingana na Dunia nzima, Kenya inaangamia!

Akikujibu nitag pliiz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa nimpuuzi kabisa huyu atakuwa ni M7 au PK najaribu kuwaza kwa sauti jinsi wao wanavyowaza watakuwa wanamkejeli kwa simu Uhuru Kenyata kwakumwambia angalia na usmart wenu kujifanya mnabadili katiba,katiba za afrika azibadilishwi ona sasa unaadhirika...nijambo la kusikitisha kwa kubeza kilichofanyika kenya ni kwa mar ya kwanza Afrika mwangwi unakuja katika mataifa yote afrika mjiandae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gharama itawafanya wasimamizi wawe makini ktk chaguzi nyingine kenya Go Go Go

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu waliomsapoti kenyatta walisema uchaguzi ulikuwa huru na wahaki tujifunze kupitia uchaguzi wa kenya sasa vp mahakama ya kenya iseme kulikuwa na wizi wa kura! tujifunze kipi hapa wizi wa kura ama kupinga matokeo mahakamani?
 
Mkuu kama uli msikia jaji alisema kila upande utachukuwa gharama yake
 
Nahisi kichefuchefu
 
Lumumba at work

*Akifa shekhe kazi ya Mungu*
*Akifa mlevi sababu ya Pombe*
 
ila uchaguzi uliorudiwa zanzibar haukupoteza pesa?

*Akifa shekhe kazi ya Mungu*
*Akifa mlevi sababu ya Pombe*
 
Mbona Zanzibar mlirudia hamkuona hasara yoote unayoisema hapa..?
Au mkishinda nyie ndik sawa ila akishnda mpinzani si sawa.
UNA AKILI ZA PANZI NA KAMA KUNA MOTO JEHANAMU NYIE MNATAKIWA KUWA KUNI KABISA
 
Achia Wakenya wakuambie ukweli, acha porojo ya vijiweni. Kenya is making strides, have you seen them kill each other for this openness and truth they are fighting for???
 
wewe kazi kushabiki bila kutumia akili na nani kakwambia kenya ni nchi maskini.wacha kukurupuka bila kuchunguza......
 
Yaani wewe huna tofauti na fikra zangu...... Nawaza kwa sauti kubwa Sana pesa ya Mwafrika ikitumika kufanya uchaguzi Mara ya pili wakati Wapo Kenyans hawana madawa, hawana hospitals, Havana hata Ada Za kulipia elimu zao..... Hizo billions Za kurudia uchaguzi c wangewekeza huko?! Waafrika sifa zinatuangamiza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata wewe ni typical Mwafrika, unataka kuprove kitu kwa Muzungu hkn kingine, kama ungewajali Wakenya hivyo angalau ungeguswa na gharama na fedha wanazopoteza kwa ujinga tu, fedha ambayo wangewekeza kwenye ustawi wa jamii yao!
Basi nchi zote zinazofanya uchaguzi zinapoteza hela bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ni vijisababu vya mtu mvivu, kunazo nchi za kisocialist ambazo ni tajiri au zina uwezo mkubwa duniani,
Alfu isitoshe, Tz iliachq mambo yaki socialist kitambo sana, tena nyinyi ni nchi ya pili au tatu africa kwa madini


Kila kitu ni relative, nitajie nchi moja ya kisoshalisti ambayo imeendelea kuliko nchi ya kibepari, isitoshe huwezi kulinganisha Tanzania na Kenya, kwanza Tanzania mpaka leo hii bado hata hatujaaamua rasmi kama sisi ni capitalistic country au la, na hili utaliona kila mahali, kwa mfano huwezi kumiliki ardhi Tanzania mpaka leo ardhi ni mali ya Serikali na hii ni moja kati ya tofauti kubwa kati ya Capitalism and socialism wkt Kenya ni capitalistic country from day one, Unaweza ukamiliki half of the country kama una uwezo huo na hakuna wa kukuuliza kitu, hivyo ni ajabu leo hii kukosa Ugali!
 
Basi nchi zote zinazofanya uchaguzi zinapoteza hela bure

Sent using Jamii Forums mobile app


Kuna nchi ambazo zinauwezo wa kulipia uchaguzi lkn nyingi za kimaskini hasa za kwetu huku Afrika ni kupoteza hela tu, sasa unapokuja kuongeza na mwingine tena kama huu wa Kenya, ni kunyonga watoto!
 

Ukweli mtupu. Account yangu Twitter nimeongea hili jana nzima!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…