Ngungenge
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,914
- 3,386
Nawakumbusha wana CCM wenzangu na watanzania kwa ujumla. Rais wa Tanzania ni Samia Suluhu Hassan. Na sasa ni awamu ya 6. Rais Samia atakuwa madarakani kwa miaka 9.
Rais Samia, the irone lady with smart brain anakwenda kufanya transformation kubwa kwenye viwanda, uwekezaji na huduma za kijamii kuliko baadhi wanavyotaka.
Hivyo utukufu ni haki yake na utabaki kuwa utukufu kwa miaka yote atakayo Tawala
Mazuri yake yatabaki na yataishi Milele. Bandari ya Bagamoyo itajengwa, viwanda vitajengwa, mradi wa Gesi utajengwa na zaidi viwanda vitachipuka sio kwa maneno bali tutashuhudia na tanzania inakwenda kuwa nchi yenye nguvu kiuchumi katika ukanda wa maziwa makuu na kusini mwa Afrika.
Number dont lie, tutashindanisha stoke market, FDIs, FDC, Ajira kwa vijana na hali ya umasikini nchini. Propaganda hazina nafasi awamu hii bali vitendo vitaongea
Mikakati yake ni smart na hakika na hatimaye tutapata economic growth na economic development inayogusa maisha ya mtanzania mmoja mmoja.
Tega sikio
Rais Samia
#KAZI IENDELEE