Napingana na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda anayetaka Adhabu ya Kifo ifutwe

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kwanini GENTAMYCINE nataka iendelee kuwepo na tena kama Watekelezaji wakiwa hawapo Mimi nipo tayari Kuwasaidia.

1. Adhabu ya Kifo inaokoa Gharama za Walipa Kodi katika Kuwatunza

2. Adhabu ya Kifo inasaidia Kuokoa muda kwa Watendaji wa Magereza Kuwatunza Wahalifu Wanaotaka a Kunyongwa

3. Adhabu ya Kifo inasaidia katika Kurekebisha tabia za Wahalifu walioko

4. Adhabu ya Kifo ni Fursa ya Kiajira kwa Watu wasiokuwa Waoga wa Kuwanyonga Wahalifu kwa nchi nzima

5. Adhabu ya Kifo itasaidia kuibua Ubunifu mpya wa Kuwanyonga Wahalifu kwa Style mbalimbali

6. Adhabu ya Kifo Kiuchumi itakuwa na Faida kwani inaweza Kusaidia Wanyongaji wakapata Tenda nyingi za Unyongaji nje ya nchi na Tanzania ikaingiza Fedha za Kigeni kutokana na Utaalam wao

7. Adhabu ya Kifo itasaidia Kuwapunguza Wahalifu Wapumbavu ambao ni Chukizo na Hatari kwa Taifa letu

GENTAMYCINE nataka Adhabu ya Kifo iwepo na ikiwezekana nipewe Ukuu wa Kitengo hicho ili niwanyooshe Wapuuzi Wahalifu Sugu nchini.
 
Ukiona hivyo ujue wanajua waliyoyafanya hivyo wana woga wanaanza kujihami, adhabu ya kifo ipo kwa Wauwaji, ni swala la muda tu.
Mtu kahukumiwa kunyongwa, kwa kosa la kuua kwa kukusudia, utawasikia watetezi wa hizo taasisi za haki za kibinadamu wakidai eti, adhabu ya kunyonga ni ya kikatili sana! Sasa, yule aliyedhurumiwa haki yake ya kuishi na muuaji huyo, tunaichukuliaje?
Binafsi huwa nasikitika sana, kuona hao watu waliopatikana na hatia ya kuua wenzao pasipo shaka, na kuhukumiwa kunyongwa, adhabu yao kuto kuidhinishwa na kutekelezwa miaka na miaka! Ingawa, adhabu ya kusubiri kunyongwa, ni ngumu kuliko hata kunyongwa kwenyewe!
 
Kwanini GENTAMYCINE nataka iendelee kuwepo na tena kama Watekelezaji wakiwa hawapo Mimi nipo tayari Kuwasaidia.

1. Adhabu ya Kifo inaokoa Gharama za Walipa Kodi katika Kuwatunza

2. Adhabu ya Kifo inasaidia Kuokoa muda kwa Watendaji wa Magereza Kuwatunza Wahalifu Wanaotaka a Kunyongwa

3. Adhabu ya Kifo inasaidia katika Kurekebisha tabia za Wahalifu walioko

4. Adhabu ya Kifo ni Fursa ya Kiajira kwa Watu wasiokuwa Waoga wa Kuwanyonga Wahalifu kwa nchi nzima

5. Adhabu ya Kifo itasaidia kuibua Ubunifu mpya wa Kuwanyonga Wahalifu kwa Style mbalimbali

6. Adhabu ya Kifo Kiuchumi itakuwa na Faida kwani inaweza Kusaidia Wanyongaji wakapata Tenda nyingi za Unyongaji nje ya nchi na Tanzania ikaingiza Fedha za Kigeni kutokana na Utaalam wao

7. Adhabu ya Kifo itasaidia Kuwapunguza Wahalifu Wapumbavu ambao ni Chukizo na Hatari kwa Taifa letu

GENTAMYCINE nataka Adhabu ya Kifo iwepo na ikiwezekana nipewe Ukuu wa Kitengo hicho ili niwanyooshe Wapuuzi Wahalifu Sugu nchini.
Kwenye namba 5 ndipo panahitajika. Maybe double lethal injection ili mhalifu asipate maumivu kama ya kuning'inizwa kwenye kama. Otherwise kumfunga mhalifu maisha ni kumuua polepole Kwa miaka mingi ambayo ni adhabu kubwa zaidi ya adhabu ya kifo.
 
Waziri mmoja mstaafu aliona mtoto albino amekatwa mikono kwa imani za kishirikina alilia kama mtoto mdogo kwa kuguswa leo anataka kutuletea usiku
 
Kifungo Cha maISHA NI MATESO ZAIDI KWAIYO NI BORA MTU AKAHUKUMIWA KIFO KULIKO KUMSWEKA NDANI MAISHA YAKE YOTE .....NI TORTURING MBAYA SANA
 
Back
Top Bottom