Sinkala
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 1,773
- 688
Enzi hizo nikiitwa Mzee wa kupokea Thanks, kwa siku hizi ningeitwa mzee wa kupokea 'likes'. nilipotea kidogo lakini nimeona leo sikukuu, si vibaya nikapita kuwasalimu hasa wale ma Legend, nimewamiss Wapwa wa JF sijui bado wapo kwa ID nyingine, akina Pundit na kiingereza chake kigumu, Lunyungu na stori zake kila akitaka kujulikana yupo au ameenda nje ya nchi, Pdiddy na story za pale airport (sijui alikuwa driver wa taxi za pale airport), Mzee Mwanakijiji kwenye siasa, Game Theory kwenye mahakama ya kadhi na wengineo wengi.
Nilikuwa nawasalimu tu, sina jipya
Nilikuwa nawasalimu tu, sina jipya