Napitia wakati mgumu

I think uliwahi toanhii habari miaka ya nyuma

Pole sana jamani ktu cha kwanza jikubali..try to be positive!
 
 
Pole sana sasa unaenda kupona..! Mdogo wangu aliteswa na hii changamoto kiasi kwamba hospital zote kubwa tulimaliza ila aliponea pale Posta Kuna clinic ambayo inamilikiwa na wazungu ila watumishi wake ni Madaktari wa MUHAS na OCEAN ROAD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…