Nilifanya kazi kwa muhindi kwa muda wa miaka 3.
Nnikapata kazi kwa sehemu nyingine nikaomba kuresigne, bosi wangu akamindi kwanini naondoka nikamwambia nimeamua coz nimepata sehemu nyingine, nikampa muda wa week moja nikakabidhi ofisi, akaniambia nmlipe pesa ya mwezi 1, nikamlipa.
sasa nimeondoka nimekaa kwa mwajiri mpya miezi 3 imepita amenitumia barua eti nilimuibia na atanipeleka mahakamani kama sivyo tumalize kijstaarabu nimlipe.
Swali ni je ana uwezo wa kunishitaki wakati mimi sio mwajiri wake tena na je anaweza kuniharibia kwa mwajiri wangu mpya, kama kungekuwa nashida kwa nini hakukataa resignation yangu?
Nitashukuru kwa msaada!