Napmba ushauri wa kisheria

Napmba ushauri wa kisheria

kerai

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2013
Posts
222
Reaction score
150
Nilifanya kazi kwa muhindi kwa muda wa miaka 3.

Nnikapata kazi kwa sehemu nyingine nikaomba kuresigne, bosi wangu akamindi kwanini naondoka nikamwambia nimeamua coz nimepata sehemu nyingine, nikampa muda wa week moja nikakabidhi ofisi, akaniambia nmlipe pesa ya mwezi 1, nikamlipa.

sasa nimeondoka nimekaa kwa mwajiri mpya miezi 3 imepita amenitumia barua eti nilimuibia na atanipeleka mahakamani kama sivyo tumalize kijstaarabu nimlipe.

Swali ni je ana uwezo wa kunishitaki wakati mimi sio mwajiri wake tena na je anaweza kuniharibia kwa mwajiri wangu mpya, kama kungekuwa nashida kwa nini hakukataa resignation yangu?

Nitashukuru kwa msaada!
 
Hivi huku kuna wanasheria kweli au ni mabush lawyers ndo wamejazana huku? MTU ameomba ushauri tangu jana hakuna msaada? Jamani jitokezeni basi!
 
Kama umeiba na unajuwa umeiba rudisha dili limeshtukiwa kama unahuwakika hujaiba mwambie tena kwa jeuri aende makamani.
Kushtakiwa haijalishi kama wewe ni mwajiriwa wake au sio swala hapo nikuwa wakati ukiwa mwajiriwa wake ulimwibia basi
 
Kamanda kama uliiba na kuamua kuresign na jamaa ameshtuka na ana ushahidi atakumaliza lakini kama hukufanya hivyo usiwe na mashaka.
 
moja:
anao uwezo wa kukushtaki hata kama haupo chini ya ajira yake tena

mbili: anaweza akawa alikubali resignation yako then wakati umeshasepa akagundua wizi ulioufanya.

tatu:
kama ulikabidhi ofisi na mkasainiana kuwa kila kitu kipo sawa na kweli kila kitu kilikuwa sawa sioni unatetemeka nini (guilty conscious au?)

nne:
wahindi nawajua sana, waoga sana wa kesi kiasi kwamba sometimes huwa wapo tayari kupoteza haki (kama sio kubwa sana) kuliko kudeal katika legal haggles, inakuwaje kwako ndugu?

tano:
sababu uliyoitoa kuwa alimind kwa kuwa umeacha kazi ni very flimsy, hakuna atakayekuamini humu JF

sita:
KAMA UNADHANI UNA KESI YA KUJIBU NI-PM TUPANGE MKAKATI- Law is not about what you know to be true, its all about what you can prove
 
Back
Top Bottom