Napokea oda ya kutengeneza vitambulisho vya wanafunzi/wafanyakazi

Napokea oda ya kutengeneza vitambulisho vya wanafunzi/wafanyakazi

Al-akhdally

Member
Joined
Jul 3, 2018
Posts
99
Reaction score
119
Habari za saa hizi wana jamvi.

OmarExpress tech.
Ni watengenezaji wa vitambulisho vya aina zote+business card.
Napokea oda ya kutengeneza vitambulisho popote kutoka pande zote za tanzania. Pia natoa discount ya 10% kwa kazi kubwa kuanzia PC 500. Vitambulisho vyetu vina ubora wa hali ya juu.
Features
1. glossy
2. Pvc card.
3. Durable
4. Highest quality.


Bei zetu ni za offa kwa msimu huu wa skukuu.

3000/= kuanzia pc 25.
5000/= kwa pc chini ya 25.

Tupo temeke karibu na uwanja wa Taifa, Dar es salaam.
Kwa Mawasiliano zaidi.
0717470234.
0783973428.
0783858554.

Karibuni sana
huduma zetu tunakufata popote ulipo.
 
Weka sample
sorry hii ni mojawapo ya template nnayotumia, zipo nyingi zaid 100, uchaguzi ni wako ukileta kazi nakupa uhuru wa kuchagua sample unayo taka.
 

Attachments

  • front ID.PNG
    front ID.PNG
    73.9 KB · Views: 93
  • back ID.PNG
    back ID.PNG
    26.3 KB · Views: 85
Back
Top Bottom