Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
Unawakumbuka vijana wa Tupac, Outlawz? Yay yay! Bila shaka pia utakuwa unamjua au ushamsikia mmoja wao kwa jina Mutah a.k.a. Napoleon.
Huyu jamaa wazazi wake waliuwawa mbele ya macho yake yeye na ndugu zake wakiwa wadogo. Mama yao alipigwa risasi 13 akiwa-shield wanae wasidhuriwe, na kweli hawakuguswa. Sad huh? Cha kuhuzunisha zaidi, ni kuwa jamaa waliofanya hayo walikuwa rafiki wa baba yake.
Anyway, miaka kadhaa mbele, kaka yake Napoleon anapewa taarifa na mchizi wake wa kitambo kuwa mmoja wa jamaa aliyeshiriki yale mauwaji ya wazazi wake, yupo naye selo moja ndani ya jela. Braza akatoa go-ahead mshkaji ammalize yule jamaa.
Kaka mtu akaja kumshirikisha Napoleon ambaye alisha-convert to Islam, na sasa ni mwislam safi, kuhusu 'habari njema' hiyo ya muuwaji wa wazazi wao kukaribia kukutana na karma.
Napoleon kutokana na uislam wake, akalazimika kutoa taarifa kwenye lile gereza kuwa maisha ya mchizi yapo hatarini, hivyo jamaa akahamishwa. Na hivyo ndivyo alivyookoa maisha ya jamaa.
Wangapi mngeweza kufuata mafunzo ya dini zenu kama Napoleon kwenye situation kama hiyo?