SPACE CADET
JF-Expert Member
- Dec 15, 2022
- 2,280
- 3,555
Oy wanangu nilikuwa napitia pitia misimamo ya ligi tofauti nikakutana na serie A aseee
Moto wa napoli ni wa kuweka mbali na watoto yaani 23 games 62 pts khaa asee hii nongwa sana team ya pili inapointi 46 sijui huko yaani bonge la gepu hii timu inaenda kuvunja record ya Juventus waliyoweka 2013/14 ya 102 pts amini nawaambia huyo oshimen anafunga kama mbwa aseee
Duuuh hawa jamaa watamaliza na point 105 au 104 sio chini ya hapo
dmkali kwani uongo mkuuu kongole kwao ligi mara ya mwisho kubeba ni 1990 enzi za maradona hizo hivyo 32 years down the line ligi ni yao hiii