Napoli ni moto wa kuotea mbali msimu huu

Napoli ni moto wa kuotea mbali msimu huu

SPACE CADET

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2022
Posts
2,280
Reaction score
3,555
Oy wanangu nilikuwa napitia pitia misimamo ya ligi tofauti nikakutana na serie A aseee

Moto wa napoli ni wa kuweka mbali na watoto yaani 23 games 62 pts khaa asee hii nongwa sana team ya pili inapointi 46 sijui huko yaani bonge la gepu hii timu inaenda kuvunja record ya Juventus waliyoweka 2013/14 ya 102 pts amini nawaambia huyo oshimen anafunga kama mbwa aseee

Duuuh hawa jamaa watamaliza na point 105 au 104 sio chini ya hapo

dmkali kwani uongo mkuuu kongole kwao ligi mara ya mwisho kubeba ni 1990 enzi za maradona hizo hivyo 32 years down the line ligi ni yao hiii
Screenshot_20230218-002506.jpg
 
Oy wanangu nilikuwa napitia pitia misimamo ya ligi tofauti nikakutana na serie A aseee

Moto wa napoli ni wa kuweka mbali na watoto yaani 23 games 62 pts khaa asee hii nongwa sana team ya pili inapointi 46 sijui huko yaani bonge la gepu hii timu inaenda kuvunja record ya Juventus waliyoweka 2013/14 ya 102 pts amini nawaambia huyo oshimen anafunga kama mbwa aseee

Duuuh hawa jamaa watamaliza na point 105 au 104 sio chini ya hapo

dmkali kwani uongo mkuuu kongole kwao ligi mara ya mwisho kubeba ni 1990 enzi za maradona hizo hivyo 32 years down the line ligi ni yao hiiiView attachment 2520972
Ac Milan alianza na moto wake wa mabua akajifanya anachuana na Napoli kwenye mbio za ubingwa. Napoli alipokuja kukaa juu ndio basi tena ni mwendo wa kutandika tu aangaliii huyu mkubwa mwenzangu au vipi. Ac Milan tokea watoke kwenye mapumziko ya kombe la dunia watu wanajipigia tu. Napoli sasa ni wakati wa kuelekeza nguvu zake kwenye UEFA champions league huku kaishamaliza kazi
 
Back
Top Bottom