Historia ipi mkuu? Maana kibiblia hao wayahudi sio wa asili ya pale bali ni IRAQ.Chuki yenu inakataa hata historia ya kweli kuwa ardhi ile ni asili ya wayahudi na ni haki yao.
Wala issue sio Hamas, ni Palestina kumbuka westbank hakuna Hamas au Golan Heights ila mmezipora na kuwatesa wakazi wa paleNafsi zenu zimetapelika hata kuona unyama wa hamas ni wa kawaida kwa maana tu mna share nao itikadi
Akili zenu zimepikwa kuchukia na kupenda kwa maagizo ila sio kwa utashi wenu
Chuki yenu inakataa hata historia ya kweli kuwa ardhi ile ni asili ya wayahudi na ni haki yao.
Nafsi zenu zimetapelika hata kuona unyama wa hamas ni wa kawaida kwa maana tu mna share nao itikadi.
Namkubali sana Netanyahu, aendelee kugawa dozi tuu bampa tu bampaNi upumbavu kushangilia maovu yanayofanywa na Benjamin Netanyau kule mashariki ya kati
Kwahy na ww n miongon mwa waliokalilishwa script za wazunguNamkubali sana Netanyahu, aendelee kugawa dozi tuu bampa tu bampa
Mm nachotaka kuona n hamas na hao wengine wakipelekewa moto tuu na Netanyau, hayo mambo ya script utajua wwKwahy na ww n miongon mwa waliokalilishwa script za wazungu
Mtu anayewatetea wapumbavu kwa nguvu zake zote (Israel au Palestine) huku akijifanya haoni yanayitokea Sudan, Somalia, Congo na kwingineko kwa Waafrika wenzake huwa namuona kama mshenzi.Akili zenu zimepikwa kuchukia na kupenda kwa maagizo ila sio kwa utashi wenu
Chuki yenu inakataa hata historia ya kweli kuwa ardhi ile ni asili ya wayahudi na ni haki yao.
Nafsi zenu zimetapelika hata kuona unyama wa hamas ni wa kawaida kwa maana tu mna share nao itikadi.
Sawa malkia ZumaridiAkili zenu zimepikwa kuchukia na kupenda kwa maagizo ila sio kwa utashi wenu