dogo kubwa
JF-Expert Member
- May 21, 2016
- 798
- 695
Poleni kwa majukumu ya ujenzi wa Taifa wana bodi, mimi ni wakala wa M-Pesa, kwa muda mrefu nimekuwa naingia hasara bila kujua inatokana na nini.
Kwa mfano, nina laki tano kwenye simu na nina lako tano mkononi, nikifanya mzuguko ndani ya wiki moja, najikuta nina laki mbili kwene simu na laki tatu mkononi, so hapo kuna jumla ya laki tano sijui imepoteaje.
Nimebadili laini ya uwakala nikidhani ile laini ya kwanza kuna namna aliyeniuzia anaiba, kadhalika na hii line mpya nimeyonunua mwenyewe bado tatizo lipo.
Msaada tafadhari. Natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
=====

Upande wa M-Pesa kila miamala unayoifanya andika na jioni angalia salio. Ukiona figisu watembelee voda kwasababu ndani ya voda kuna vijana wa IT wezi wanataka maisha mazuri na utajili wa haraka wakati mishahara haiwatoshi wanachokifanya wanatengeneza kaprogram kakuiba hata shilling mbili kila saa ukizidisha na wateja kwa siku wanaondoka na hela nyingi. Hila wengine wanapiga ndefu kwa mteja mmoja ukitoa taarifa na kulalamika watakuambia system iliteleza sorry utarudishiwa muhamala wako, lakini ukinyamaza ndo imekula kwako. Kuhusu cash money ya mkononi yako mambo ya mazingira ya kiswahili! Wengi kwevile sio wafanyabiashara wanaweza wasijue lakini kwawafanyabiashara hayo mambo yapo. Unaweka hela unakutapungufu mwingine kaishajisevia! Sasa angalia imani yako kama mkristo jifunze!