Asipokuelewa hapa..Unajua nini jifunze kuweka akiba,toa kwanza pesa ya akiba inayobaki ndo uitumie.toa peleka hata bank au fungua fixed account.Ukipata toa hela weka huko then bakiza ya matumizi yako ya muhimu tu.Kuwa na nidhamu tu katika matumizi yako ya pesa.
"Zenyu".....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wote wenye tatizo kama la mleta uzi leteni pesa zenyu kwangu niwatunzie.
Nenda benki, wakuingize kwenye mfumo wa saving unaitwa automationHabari ndugu na jamaa!
Nimekuja na ka uzi kadogo haka nikihitaji mawazo yenu.
Nipo sekta ya Afya kikazi,nalipwa vizuri pesa kila mwisho wa mwezi, tatizo baada ya siku mbili tatu sielewi pesa imeenda wapi.
Nina matumizi yasiyo ya lazima,hadi inaniumiza maana nakuwa nauona mwisho wangu sio mzuri. Nimejitahidi kujizuia lakini nimeshindwa.
Mfano wiki iliyopita nimepata 120000 nje ya mshahara toka kwa mihangaiko mbadala,siku tatu baadae sina hata mia.
Sinywi pombe,sihongi,sivai sana,chakula matumizi madogo kabisa.
Naombeni njia mnazotumia kujibana na kutunza fedha,nizitumie maana hii hali mwisho wangu utakuwa sio mzuri.
Natanguliza shukrani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu nilichokuambia hujakifanyia kazi?Uwe unanipa nikutunzie
Umenipa kazi ngumu hata siiwezi, pambana tu na hali yako [emoji23][emoji23]Halafu nilichokuambia hujakifanyia kazi?
Nakushauri uoe mke sahihi atakusaidiaHabari ndugu na jamaa!
Nimekuja na ka uzi kadogo haka nikihitaji mawazo yenu.
Nipo sekta ya Afya kikazi,nalipwa vizuri pesa kila mwisho wa mwezi, tatizo baada ya siku mbili tatu sielewi pesa imeenda wapi.
Nina matumizi yasiyo ya lazima,hadi inaniumiza maana nakuwa nauona mwisho wangu sio mzuri. Nimejitahidi kujizuia lakini nimeshindwa.
Mfano wiki iliyopita nimepata 120000 nje ya mshahara toka kwa mihangaiko mbadala,siku tatu baadae sina hata mia.
Sinywi pombe,sihongi,sivai sana,chakula matumizi madogo kabisa.
Naombeni njia mnazotumia kujibana na kutunza fedha,nizitumie maana hii hali mwisho wangu utakuwa sio mzuri.
Natanguliza shukrani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee chalii yangu umerogwa tena umepigwa Kimbola cha hatariHabari ndugu na jamaa!
Nimekuja na ka uzi kadogo haka nikihitaji mawazo yenu.
Nipo sekta ya Afya kikazi,nalipwa vizuri pesa kila mwisho wa mwezi, tatizo baada ya siku mbili tatu sielewi pesa imeenda wapi.
Nina matumizi yasiyo ya lazima,hadi inaniumiza maana nakuwa nauona mwisho wangu sio mzuri. Nimejitahidi kujizuia lakini nimeshindwa.
Mfano wiki iliyopita nimepata 120000 nje ya mshahara toka kwa mihangaiko mbadala,siku tatu baadae sina hata mia.
Sinywi pombe,sihongi,sivai sana,chakula matumizi madogo kabisa.
Naombeni njia mnazotumia kujibana na kutunza fedha,nizitumie maana hii hali mwisho wangu utakuwa sio mzuri.
Natanguliza shukrani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha yamekuwa hayo tenaUmenipa kazi ngumu hata siiwezi, pambana tu na hali yako [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]Hahaha yamekuwa hayo tena
Njoo secret kwanza[emoji23][emoji23]
Nitaifuatilia hii Automation.Nenda benki, wakuingize kwenye mfumo wa saving unaitwa automation
Yaani mshahara ukiingia tu, unakatwa (kiasi cha kukatwa ni wewe ndio unapendekeza) kama unalipa deni
Baada ya muda flani chukua hela katimize malengo yako (kama ni ya miezi 6, mwaka n.k)
Mbinu nyingine oa mwanamke anayejielewa kama bado hujaoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana aiseee maana nimekesha usiku nikitafakari hii hali.Aiseee chalii yangu umerogwa tena umepigwa Kimbola cha hatari
Shukrani.Hauko mwenyewe...mkuu tupo wengi ila tatizo hilo linaitwa mfuko kutoboka hivyo uwe unatoa fungu la 10, kwenye kipato chako halali achana na hicho cha pembeni halafu lete mrejesho...
Kutokuwa na majukumu sio sababu nishindwe kutunza pesa, ni mtu mzima pia.tatizo huna majukumu ukikua lazima ujue kila senti yako.inapokwenda
Sent using Jamii Forums mobile app