Napoteza sana pesa!

Napoteza sana pesa!

Hunywi pombe

Hujengi

Husafiri

Huna demu

Hujirushi party

Hutoi michango mbalimbali eg harusi

Husomeshi

Hutumi hela kwenu

Huna gari la kujaza wese

Huvai vizuri

Huwapi watu bia

Hulipi kodi

Hulipii ving'amuzi, luku,maji,voucher,bundle.

Huendi shopping

...... ALAFU PESA INAISHA..!!??

MKUU WEWE UTAKUWA JINI
 
Unajua nini jifunze kuweka akiba,toa kwanza pesa ya akiba inayobaki ndo uitumie.toa peleka hata bank au fungua fixed account.Ukipata toa hela weka huko then bakiza ya matumizi yako ya muhimu tu.Kuwa na nidhamu tu katika matumizi yako ya pesa.
Asipokuelewa hapa..
 
Nikushaur kila ukipata mshahara kata nusu ya hyo hela mpe Mama yako akaushikie maana inaonekana bado hujapevuka, Ukiona ni kaz nenda bank kaongee nao wawe wanakata kias cha fedha kutoka kwenye mshahara wako kama then inakua kama saving vile.
Mara ya mwisho nilisikia BOA wanafanya hyo kitu
 
Habari ndugu na jamaa!

Nimekuja na ka uzi kadogo haka nikihitaji mawazo yenu.
Nipo sekta ya Afya kikazi,nalipwa vizuri pesa kila mwisho wa mwezi, tatizo baada ya siku mbili tatu sielewi pesa imeenda wapi.

Nina matumizi yasiyo ya lazima,hadi inaniumiza maana nakuwa nauona mwisho wangu sio mzuri. Nimejitahidi kujizuia lakini nimeshindwa.

Mfano wiki iliyopita nimepata 120000 nje ya mshahara toka kwa mihangaiko mbadala,siku tatu baadae sina hata mia.

Sinywi pombe,sihongi,sivai sana,chakula matumizi madogo kabisa.

Naombeni njia mnazotumia kujibana na kutunza fedha,nizitumie maana hii hali mwisho wangu utakuwa sio mzuri.

Natanguliza shukrani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda benki, wakuingize kwenye mfumo wa saving unaitwa automation

Yaani mshahara ukiingia tu, unakatwa (kiasi cha kukatwa ni wewe ndio unapendekeza) kama unalipa deni

Baada ya muda flani chukua hela katimize malengo yako (kama ni ya miezi 6, mwaka n.k)

Mbinu nyingine oa mwanamke anayejielewa kama bado hujaoa

Nakushauri uoe mke sahihi atakusaidia

Aiseee chalii yangu umerogwa tena umepigwa Kimbola cha hatari
 
Nenda benki, wakuingize kwenye mfumo wa saving unaitwa automation

Yaani mshahara ukiingia tu, unakatwa (kiasi cha kukatwa ni wewe ndio unapendekeza) kama unalipa deni

Baada ya muda flani chukua hela katimize malengo yako (kama ni ya miezi 6, mwaka n.k)

Mbinu nyingine oa mwanamke anayejielewa kama bado hujaoa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitaifuatilia hii Automation.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hauko mwenyewe...mkuu tupo wengi ila tatizo hilo linaitwa mfuko kutoboka hivyo uwe unatoa fungu la 10, kwenye kipato chako halali achana na hicho cha pembeni halafu lete mrejesho...
 
Back
Top Bottom