Napoteza sana pesa!

Napoteza sana pesa!

Ukitoa hivyo ulivyovitaja kuwa makini na madeni.
Habari ndugu na jamaa!

Nimekuja na ka uzi kadogo haka nikihitaji mawazo yenu.
Nipo sekta ya Afya kikazi,nalipwa vizuri pesa kila mwisho wa mwezi, tatizo baada ya siku mbili tatu sielewi pesa imeenda wapi.

Nina matumizi yasiyo ya lazima,hadi inaniumiza maana nakuwa nauona mwisho wangu sio mzuri. Nimejitahidi kujizuia lakini nimeshindwa.

Mfano wiki iliyopita nimepata 120000 nje ya mshahara toka kwa mihangaiko mbadala,siku tatu baadae sina hata mia.

Sinywi pombe,sihongi,sivai sana,chakula matumizi madogo kabisa.

Naombeni njia mnazotumia kujibana na kutunza fedha,nizitumie maana hii hali mwisho wangu utakuwa sio mzuri.

Natanguliza shukrani.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia kusaidia ndugu,jamaa na marafiki inamaliza sana hela.

Kuna binadamu wengine mali zao au hela huwa sio zao kama wanavyofikiria bali huwa wamewekezwa tu na kupitia mikononi mwao ila ni za watu wengine kabisa
Hata ujitahidi kupeleka bank na wakate kila mwezi lakini mwisho wa siku utaenda kugombana nao upewe chako hata kama umezifunga kwa miaka
Najua ni ngumu kunielewa na kukuelewesha labda tumsubiri mshana

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Hili tatzo nilijua ninalo mwenyewe kumbe tuko wengi..., Sinywi pombe, sivuti sigara Wala bangi Nina Safari nyingi za kikazi nje ya mshahara

Million Moja ndani ya wiki nakuwa nshaimaliza, mpaka mda mwingine nakuw sijiielewi
Jitafakari kwa kina...

Kama huibiwi basi lipo ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee na mimi ni Mhanga wa hili jambo,
ila langu naona ni jepesi,Ulevi.
Pombe ni nzuri,ila matumizi yake ndio shida,laki2 kwa siku sio issue.
Poor Mimi.
Badilika rafiki..huko tuendako..utakuja kuzikumbuka..
Tafuta wstaalamu kama hali imefika pabaya.
Afu hii kulewa sana tahadhari na vijana wa mjini ndugu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatua ya kwanza ni kujua pesa inaenda wapi.

Download personal finance manager app. Mimi natumia mobills. Kisha weka account zako zote, (bank, mobile money) including cash/wallet na starting balances zake.

Kifuatacho ni kila unapotoa au kuingiza pesa unaurekodi muamala kwenye app yako na kila siku ufanye reconcilliation kati ya balance inayoonyeshwa kwenye app na balance sahihi iliyopo kwenye akaunti husika.

In a few weeks utaanza kupata picha ya wapi inakoenda hela yako. Ukishakuwa na information ndipo utaweza kuchukua informed decision.

Huu ni mfano wa namna categories za expenses zako zinavyoainishwa kwenye mojawapo ya ripoti ya mobills app. Kushoto ni jina la category (redacted for privacy) na kulia ni kiasi kilichotumika kwa mwezi husika kwenye category hiyo na percentage ya hiyo category kwenye matumizi yote ya mwezi.

Hata usibadilishe lifestyle yako wala usimlaumu yeyote. Weka tu miamala yako humo na jibu la unatumiaje hela utalipata.

20190327_230830.jpeg
 
View attachment 1055683
Shukrani Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom