Naprint na Kudarizi T-Shirts Mashati n.k

Naprint na Kudarizi T-Shirts Mashati n.k

Mashine ya Kudariz na Heat Press ndo Bei Kidogo. Ila Ukiwa na Kama 5M Unapata Kila Kitu. Karibu Mkuu Ukiwa tayari hata kwa kuanza na Heat Press na Screening sio mbaya coz hata mimi nilianzia huko ambako cost haizid 2M.

mashine ya kudarizi ni hizi za kawaida??? in English zinaitwaje nitafute?thanks.
 
Back
Top Bottom