Asante, ntakutafuta.Depending na Ukubwa wake, Huanzia Tsh elfu 2, bei itaongozekea au kupungua kulingana na Idadi yake na Ukubwa wa Size yake. Karibu sana Mkuu
Mashine ya Kudariz na Heat Press ndo Bei Kidogo. Ila Ukiwa na Kama 5M Unapata Kila Kitu. Karibu Mkuu Ukiwa tayari hata kwa kuanza na Heat Press na Screening sio mbaya coz hata mimi nilianzia huko ambako cost haizid 2M.
Embroidery machinemashine ya kudarizi ni hizi za kawaida??? in English zinaitwaje nitafute?thanks.
Embroidery machine
Mbona zina gharama sanaEmbroidery machine