Napumzika kuishabikia Simba

Napumzika kuishabikia Simba

Mimi pia nilikua Simbasport club,sio kama shabiki tu,Bali mwanachama kadi Namba 1246..ila baadae nikaona nitakufa kwa preshaa now nimehamia timu ya wananchi ,raha kila weekend hadi mwili umerudi.karibu sana kolo matatizo hayakumbatiwi kimbiaaaa
 
Tunakoelekea sio kuzuri na jitihada za kujinasua sioni. Mashabiki tunajaribu kuzungumza hatusikilizwi.

Nashukuru Barbara katoka bado moo, ili tuanze upya hawa wametuharibia timu yetu.

Nachukia kuitwa ngada fc
"MO & Barbara wametuharibia timu," hakika watanzania hamna shukurani, mafanikio yote kwa miaka 4 ya MO leo mnasema kaiharibu timu.
 
Sio fadhila hamna uwekezaji wowote wamefanya wanatudanganya na hela za pipi huku wanabeba pakubwa wakiambiwa wanasusa kututisha watuachie timu yetu tujipange upya
 
Una sh ngapi? Mimi sitaki niachiwe timu maana sina pesa za kuendesha timu
Mashabiki ambao hata milion 200 kwa mwezi iliwashinda ndo wanaongoza kulaumu viongozi.Punguzeni malalamiko
 
Tunakoelekea sio kuzuri na jitihada za kujinasua sioni. Mashabiki tunajaribu kuzungumza hatusikilizwi.

Nashukuru Barbara katoka bado moo, ili tuanze upya hawa wametuharibia timu yetu.

Nachukia kuitwa ngada fc
Hamia Yanga tu kiongozi..!!
 
Back
Top Bottom