Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Kama unachukia kuitwa Ngada Fc, basi uendelee kuitwa Mbumbumbu Fc.Tunakoelekea sio kuzuri na jitihada za kujinasua sioni. Mashabiki tunajaribu kuzungumza hatusikilizwi.
Nashukuru Barbara katoka bado moo, ili tuanze upya hawa wametuharibia timu yetu.
Nachukia kuitwa ngada fc