Napumzika kuishabikia Simba

Napumzika kuishabikia Simba

Tunakoelekea sio kuzuri na jitihada za kujinasua sioni. Mashabiki tunajaribu kuzungumza hatusikilizwi.

Nashukuru Barbara katoka bado moo, ili tuanze upya hawa wametuharibia timu yetu.

Nachukia kuitwa ngada fc
Kama unachukia kuitwa Ngada Fc, basi uendelee kuitwa Mbumbumbu Fc.
 
Hatuhitaji washabiki vilaza kama wewe baki huko huko Yanga mnakoshibia mihogo
 
Hahahaaa. Haya bana Mtani. 🙏

Japo sisi hatuna hiyana siku ukiona ya huko mazito karibu kwa Wananchi.
Jua liwake mvua inyeshe kamwe maji hayatopanda mlima🤣🤣. Bora niende kulima mpunga kwa kina Ihefu😂😂😂
 
Kama Mo na Barbara wamejiweka pembeni kwa maslahi ya afya zenu pumzikeni maana Phiri na Bacco hawatowapeleka popote
 
"MO & Barbara wametuharibia timu," hakika watanzania hamna shukurani, mafanikio yote kwa miaka 4 ya MO leo mnasema kaiharibu timu.
Kinyesi fc huyo wala sio simba
 
Mimi ndio nazidisha kuipenda Simba...rafiki wa kweli anaonekana wakati wa shida na dhiki.
 
Back
Top Bottom