kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
"MO & Barbara wametuharibia timu," hakika watanzania hamna shukurani, mafanikio yote kwa miaka 4 ya MO leo mnasema kaiharibu timu.Tunakoelekea sio kuzuri na jitihada za kujinasua sioni. Mashabiki tunajaribu kuzungumza hatusikilizwi.
Nashukuru Barbara katoka bado moo, ili tuanze upya hawa wametuharibia timu yetu.
Nachukia kuitwa ngada fc
Sio fadhila hamna uwekezaji wowote wamefanya wanatudanganya na hela za pipi huku wanabeba pakubwa wakiambiwa wanasusa kututisha watuachie timu yetu tujipange upya"MO & Barbara wametuharibia timu," hakika watanzania hamna shukurani, mafanikio yote kwa miaka 4 ya MO leo mnasema kaiharibu timu.
Tunakoelekea sio kuzuri na jitihada za kujinasua sioni. Mashabiki tunajaribu kuzungumza hatusikilizwi.
Nashukuru Barbara katoka bado moo, ili tuanze upya hawa wametuharibia timu yetu.
Nachukia kuitwa ngada fc
Una sh ngapi? Mimi sitaki niachiwe timu maana sina pesa za kuendesha timuSio fadhila hamna uwekezaji wowote wamefanya wanatudanganya na hela za pipi huku wanabeba pakubwa wakiambiwa wanasusa kututisha watuachie timu yetu tujipange upya
Swali zuri hiliKabla haujajiuzulu. Kwa mwaka huu umechangia Simba Shs ngapi? Maana mpira ni Pesa na sio maneno
Wamebeba sh ngapi?Sio fadhila hamna uwekezaji wowote wamefanya wanatudanganya na hela za pipi huku wanabeba pakubwa wakiambiwa wanasusa kututisha watuachie timu yetu tujipange upya
Hamia Yanga tu kiongozi..!!Tunakoelekea sio kuzuri na jitihada za kujinasua sioni. Mashabiki tunajaribu kuzungumza hatusikilizwi.
Nashukuru Barbara katoka bado moo, ili tuanze upya hawa wametuharibia timu yetu.
Nachukia kuitwa ngada fc
Pale wana NGADA FC wanapokaliana kooniKabla haujajiuzulu. Kwa mwaka huu umechangia Simba Shs ngapi? Maana mpira ni Pesa na sio maneno
Hamna shabiki wa Simba hapo....huyo ni Uto..lialia.Hata chai bado mzee