Kijana kijana
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 2,546
- 2,621
Wadau habarini za masiku.
Naomba kufahamishwa mimi nimeamua kuanza program ya kupunguza mwili na nashkuru nafanikiwa kwa sababu nilikuwa na kilo kama 77 ila saivi nipo na kilo 70 na mwili bado unapungua hata rafiki wananiambia.
Lakini sasa kuna program ya kupunguza kichwa ili na mimi nifanye nikipunguze wadau au mnanipa maoni gani mana napunguza mwili kisha kichwa kinabaki kinafuata mwili ule wa zamani.
Naombeni ushauri ahsanteni