Napunguzaje matumizi ya mbs nikiwa na browse websites kwa laptop yangu

Napunguzaje matumizi ya mbs nikiwa na browse websites kwa laptop yangu

mzabzab

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2011
Posts
41,878
Reaction score
81,593
nipeni maujanja wataalam maana mie haya mambo mashikolo mageni
 
Fuata hatua hizi :

Chukua ndoo ya Lita 20
Jaza maji yasijae mpaka juu
Chukua laptop yako isimamishe wima ukiwa hujaizima
Tumbukiza laptop
Iweke humo Muda wa Nusu saa
Itoe baada ya Nusu saa
Ikaushe maji
Ifungue vizuri test browser
Itakua haili tena Bando
Hapo Wewe seleleka Ganda la ndizi
 
nipeni maujanja wataalam maana mie haya mambo mashikolo mageni
Browsing haili Mb nyingi kama una browse vitu vilivyo katika mfumo wa maandishi, ila kama una browse media na kuzi stream hapo ndio utatumia MB nyingi.
Upande wa pili kama PC yako inakula MB nyingi pindi unapokua umeunganisha data, basi changamoto itakua ni background processes kama vile auto update ya baadhi ya softwares(applications/drivers/programs) zilizopo katika PC yako,
kuepuka hilo tatizo, hakikisha PC yako ipo updated then ingia kwenye settings na weka OFF auto-update.
 
nipeni maujanja wataalam maana mie haya mambo mashikolo mageni
unaniangusha mzabzab pussy soldier.
zama search engines andika utapata majibu.
mosi, seti data saving on kwenye browser watumia ku browse.
pili, turn off automatic updates kama mdau mwingine alivyoainisha.
mengine google
 
Fuata hatua hizi :

Chukua ndoo ya Lita 20
Jaza maji yasijae mpaka juu
Chukua laptop yako isimamishe wima ukiwa hujaizima
Tumbukiza laptop
Iweke humo Muda wa Nusu saa
Itoe baada ya Nusu saa
Ikaushe maji
Ifungue vizuri test browser
Itakua haili tena Bando
Hapo Wewe seleleka Ganda la ndizi
Mental illness is serious
 
disable window auto update maana mara nyingi ndio inamaliza mbs chapu
 
nipeni maujanja wataalam maana mie haya mambo mashikolo mageni
Kuwa na browser zaidi ya moja, then dedicated browser moja kwa ajili ya kusave data tu,

Mfano hapa tutumie Firefox, download Firefox halafu download Addon ya Ublock origin, ukiingia Addon ya Firefox utaipata, then configure ublock origin isiload media yoyote ukubwa usioutaka, mfano ukiset isiload media yoyote zaidi ya 1KB basi page zote utakazovisit zitakua ni maneno tu, ukiset isiload media yoyote zaidi ya kb 50 basi itaload picha ndogo ndogo na picha kubwa hazitaload, hivyo set kutokana na budget yako mwenyewe, pia ublock ina block matangazo na script nyengine ambazo hula sana data. Website zenye matangazo ambayo ni salama kama jamiiforums unaweza ukazi exclude.

Pia usisahau windows inaweza kula data kwenye ku upgrade, hakikisha ume block updates.
 
Back
Top Bottom