Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Hili neno 'narattive' huwa linatumika sana kwenye siasa za kimataifa hususani kwenye mahusiano ya kimataifa.
Narattive ni silaha moja muhimu sana katika kuhakikisha kwamba, nchi inalinda ideology yake na misingi yako pale inapohusiana na taifa lingine.
Kwa mfano nchi kama America na Ulaya, wamekuwa waki refer nchi ya China au Russia kama ni 'Wakomunisti', lakini kwa kuwa Wamarekani na watu wa Anglo Europe wanapinga misingi ya Kikomunisti, wakafanikiwa kutengeneza 'narattive' au misingi ya fikra kwamba pale wanapotaja 'Ukomunisti' basi lazima waongeze chumvi kwamba, Ukomunisti haujali haki za binadamu, Ukomunisti ni mfumo unaoongoza nchi kwa damu, etc.
Lengo kubwa hapa ni kwamba, hizi narattive za mataifa ya Magharibi dhidi ya Ukomunisti, ukawafanya raia wa Marekani na Ulaya, tangu wakiwa wadogo kukuwa na fikra za chuki dhidi ya China au Russia.
Kwahiyo, narattive ni kama mfumo fulani wa kuteka akili ya mtu na kumuaminisha mambo ambayo hayana ukweli lakini yana manufaa kwako.
Kutumia narattive kulinda mahusiano yako au ndoa dhidi ya waharibifu.
Hapa ndipo panakuwa patamu, ni kama sehemu ya mbinu za kijasusi. Always, kama mwanaume, unatakiwa ujenge narrative au uwe na uwezo wa ku formulate story ambazo zitakuwa zinampa uwoga mke wako dhidi ya watu ambao unaona ni threat.
Na hili unatakiwa ulitekeleza kwa akili na kwa utulivu mkubwa.
Mfano sisi kama wanaume, unaweza kusoma mazingira ya majirani zako na ukisha notice mazingira ya hatari unaweza ukaanza ku formulate narrative ambazo utakuwa unamuaminisha mkeo au mpenziwe kila siku.
Mfano wa narrative (story ndogo ndogo za uwongo ambao utakuwa unampatia mkeo kama story za kweli);
1. "Aisee jihadhari na huyu mtu, sitaki hata watoto waingie hiyo nyumba, huyu jamaa ni mshirikina hatari sana" - Saikolojia ya mwanadamu jinsi ilivo, ukishamuonya mtu dhidi ya mtu fulani, basi lazima ajawe na hisia za woga dhidi ya yule mtu, na hapo unakuwa umeshafanikiwa kwa asilimia nyingi sana.
2. "Huyu mtu inaonesha ni muhalifu, kama sio jambazi huyu, basi atakuwa muuzaji wa madawa ya kulevya" - Yaani hapo hata kama mkeo alikuwa anasalimiana na huyo mtu, tayari unakuwa umeshamuharibu kisaikolojia, na kumfanya awe na tahadhari kubwa sana dhidi yake.
3. "Aisee mama fulani, embu mwangalie huyo jirani yako vizuri usoni, halafu ntakusimulia kitu jioni" - Jioni ikifika unamuambia mkiwa chumbani, "aisee kama ulimuangalia usoni vizuri, huyu jamaa ana dalili zote za kuwa mgonjwa wa UKIMWI, si unaona hata uso wake ulivyokosa nuru?"
4. "Huyu mdingi ana skendo mbaya sana, kabla ya kuhamia hapa alikuwa anafanya kazi Kigoma, lakini alikutikana na kesi ya kulawiti mtoto wa jirani yake, ndo maana wakamuamisha kumleta huku."
Zipo nyingi sana.
Asikudanganye mtu, ulimwengu unaendeshwa kwa narattive, narattive ni silaha muhimu sana kwenye kuimarisha mahusiano.
Usijisahau kwenye hii angle, always jitahidi kum-feed mwanamke wako narrative kila siku. Usiwe mvivu kwenye hili eneo, utajuta.
Inatakiwa mambo yote anayoongea mke wako, yawe yametokana na story anazosikia kwako na sio kwa mwingine.
Imeisha huyo.
Umebaki utekelezaji tu.
N.Mushi