puza46b Member Joined Nov 3, 2010 Posts 91 Reaction score 261 Jul 28, 2020 Thread starter #21 Nadhani niliropoka mapema mnoooo!! π
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,095 Reaction score 39,619 Jul 28, 2020 #22 Lu-ma-ga said: Kwa akili unadhani kill mtu atapewa airtime kuongea. Labda mvizie vyombo via habari. Kupewa podeam sahau.Hizo ni anga za mkuu wa nchi JPM na wengine wakilishi wa nchi rafiki mlishachanganyikiwa mnafikiri kill sehemu ni siasa.Jinga kabisa Click to expand... Naskia wameingia wengie sana wakiwa wamembeba mh lissu mabegani.na uwanja umejaa sana.
Lu-ma-ga said: Kwa akili unadhani kill mtu atapewa airtime kuongea. Labda mvizie vyombo via habari. Kupewa podeam sahau.Hizo ni anga za mkuu wa nchi JPM na wengine wakilishi wa nchi rafiki mlishachanganyikiwa mnafikiri kill sehemu ni siasa.Jinga kabisa Click to expand... Naskia wameingia wengie sana wakiwa wamembeba mh lissu mabegani.na uwanja umejaa sana.
hazard Don JF-Expert Member Joined Oct 9, 2017 Posts 1,229 Reaction score 1,037 Jul 28, 2020 #23 Nilijua tu ni kazi ya wajumbe hii.
W wiser1 JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 2,604 Reaction score 3,982 Jul 28, 2020 #24 Imekuwaje? Ameenda kuaga?