Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,160
- 5,728
Ukiahindwa kuishi Dar hakuna mkoa mwingine utaweza.Nimetoka Dar nikaenda hii mikoa kujitafuta mbeya, Mwanza, bukoba, Dodoma hakuna cha zaidi nilichopata ni kuchoma mtaji tuu,
Kuna watu wanasema humu eti maisha yakiwa tight Dar nenda mikoani fursa kibao, hizo ni story tuu mikoani pagumu mzunguko wa pesa mgumu kabisa.
Tukutane kitambaa cheupe, am out.
Kwa nini usile Bata huko huko uliko?Pole
Mi nipo mkoani na Dar ndio nimezaliwa, nikasoma, nikafanya yotee ila SIRUDI.
Ukiniona Dar ujue, nimekuja kusalimia my home town au kuja kula bata.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kuna bata nalitaka, linapatikana DAR TUU.Kwa nini usile Bata huko huko uliko?
Mimi mikoani hapana.Pole
Mi nipo mkoani na Dar ndio nimezaliwa, nikasoma, nikafanya yotee ila SIRUDI.
Ukiniona Dar ujue, nimekuja kusalimia my home town au kuja kula bata.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kabisa mkuu, soon narudi.Ukiahindwa kuishi Dar hakuna mkoa mwingine utaweza.
Dar ni Heaven kwa Tanzania.
🤣🤣🤣Kwa nini usile Bata huko huko uliko?
Litafute huko huko tunduma.Kuna bata nalitaka, linapatikana DAR TUU.
#YNWA.
#YANGA_BINGWA
Kila mahali kuna fursa zake ndio maana kuna matajiri wake hayo maeneo.. Kupata connection sio jambo la siku moja.. Inahitajika kuwekeza nguvu, muda na kujenga himaya/connection.. Mtaji mkubwa ukiwa ni uaminifuNimetoka Dar nikaenda hii mikoa kujitafuta mbeya, Mwanza, bukoba, Dodoma hakuna cha zaidi nilichopata ni kuchoma mtaji tuu,
Kuna watu wanasema humu eti maisha yakiwa tight Dar nenda mikoani fursa kibao, hizo ni story tuu mikoani pagumu mzunguko wa pesa mgumu kabisa.
Tukutane kitambaa cheupe, am out.
Sikupingi mkuu ila binafsi pamenishinda bora dar Kuna mwanga nilikua nauona.Kila mahali kuna fursa zake ndio maana kuna matajiri wake hayo maeneo.. Kupata connection sio jambo la siku moja.. Inahitajika kuwekeza nguvu, muda na kujenga himaya/connection.. Mtaji mkubwa ukiwa ni uaminifu
Sasa wewe umeajiriwa utarudi vipi Dar? Labda mwajiri akurudisha au uache kazi kama una hio jeuri.Pole
Mi nipo mkoani na Dar ndio nimezaliwa, nikasoma, nikafanya yotee ila SIRUDI.
Ukiniona Dar ujue, nimekuja kusalimia my home town au kuja kula bata.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Nilipata uhamisho wa kuja Dar nikagoma.Sasa wewe umeajiriwa utarudi vipi Dar? Labda mwajiri akurudisha au uache kazi kama una hio jeuri.
Karibu uje kula bata na wa Zambia na Congo.Litafute huko huko tunduma.
Hujakutana na fursa.Mimi mikoani hapana.
Uko mkoa gn mkuuPole
Mi nipo mkoani na Dar ndio nimezaliwa, nikasoma, nikafanya yotee ila SIRUDI.
Ukiniona Dar ujue, nimekuja kusalimia my home town au kuja kula bata.
#YNWA
#YANGA_BINGWA