Narudi Dar es salaam

Narudi Dar es salaam

Yohimbe bark

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2019
Posts
2,160
Reaction score
5,728
Nimetoka Dar nikaenda hii mikoa kujitafuta mbeya, Mwanza, bukoba, Dodoma hakuna cha zaidi nilichopata ni kuchoma mtaji tuu,

Kuna watu wanasema humu eti maisha yakiwa tight Dar nenda mikoani fursa kibao, hizo ni story tuu mikoani pagumu mzunguko wa pesa mgumu kabisa.

Tukutane kitambaa cheupe, am out.
 
Ukiahindwa kuishi Dar hakuna mkoa mwingine utaweza.

Dar ni Heaven kwa Tanzania.
 
Nimetoka Dar nikaenda hii mikoa kujitafuta mbeya, Mwanza, bukoba, Dodoma hakuna cha zaidi nilichopata ni kuchoma mtaji tuu,

Kuna watu wanasema humu eti maisha yakiwa tight Dar nenda mikoani fursa kibao, hizo ni story tuu mikoani pagumu mzunguko wa pesa mgumu kabisa.

Tukutane kitambaa cheupe, am out.
Kila mahali kuna fursa zake ndio maana kuna matajiri wake hayo maeneo.. Kupata connection sio jambo la siku moja.. Inahitajika kuwekeza nguvu, muda na kujenga himaya/connection.. Mtaji mkubwa ukiwa ni uaminifu
 
Sikupingi mkuu ila binafsi pamenishinda bora dar Kuna mwanga nilikua nauona.
 
Nawiwa kukwambia ya kwamba Kuna walipotoka Dar wakaja mikoani nawakafanikiwa na Kuna walio Toka mikoani wakaenda Dar wakafanikiwa pia!

Mkuu maisha haya yaache tu unaweza enda hata Nje ya Nchi hata ulaya na usifanikiwe ukarudi Bado uko vilevile ama umepiga hatua kidogo sana.

Ukitaka kujitengenezea himaya Yako weka muda wa kutosha na malengo ya muda mrefu. Kama umeenda mwanza ukakaa muda chini ya miaka3 na useme pamekushinda ni hapana Kwa kweli Nasema hapana.

Huku mwanza no Moja ya sehemu zisizohitaji nguvu kubwa sana kuweka himaya Yako. Jambo kubwa ni uaminifu na kuwa na subiria.

Rudi Dar baada ya miaka miwili lete mrejesho.
 
Pole
Mi nipo mkoani na Dar ndio nimezaliwa, nikasoma, nikafanya yotee ila SIRUDI.

Ukiniona Dar ujue, nimekuja kusalimia my home town au kuja kula bata.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Sasa wewe umeajiriwa utarudi vipi Dar? Labda mwajiri akurudisha au uache kazi kama una hio jeuri.
 
Kwa mfanyabiashara hawezi kaongea Maneno haya kwasababu kila mkoa kuna fursa zake, riziki ya MTU IPO sehemu yeyote sio DAR pekee.
Nimeshuhudia jamaa zangu kibao wameenda kupata maisha baada kuondoka DAR..
 
ukiishi mikoani ufanye exportation ya mazao ya mifugo na kilimo au ufanye importation.... uchuuzi ni ghasia tupu... bora uchuuze dar...mji wa kibiashara..sigara embassy pale sinza utauziwa 400 ukiwa kahama utauziwa 300 tena pub... konyagi pale kijichi utauziwa 13k/15k pale tabora utauziwa 12k..angalia umbali huo na inazalishwa hapa dsm...
 
Back
Top Bottom