Mkuu namshukuru Mungu sana,Mkuu Malila za masiku.
tafadhali tunakuhitaji ktk mada hiyo hapo chini.
Nyasi za Juncao: Suluhusho la malisho ya ng'ombe, mbuzi na kondoo
Nyasi za Juncao ni nyasi zilizofanyiwa utafiti nchini China, utafiti ulifanywa na Profesa Zin Zhanxi wa chuo kikuu cha Fujian Agriculture and Forestry.Ni hybrid ya aina tofauti za napier na yanafanana na majani tembo(elephant grass).Yanafahanika pia kwa majina ya Giant Juncao na majani ya...www.jamiiforums.com
Mkuu namshukuru Mungu sana,
Pamoja na sarakasi zote zilizotukumba, Mungu aliendelea kutupa pumzi. Kwanza naomba unisaidie vitu kadhaa hapa chini. Moja, mbegu zake zinapatikana wapi, sbb jirani aliniambia anataka kuotesha kwa ajili ya malisho, ila hakunitajia jina. Pili, je zinastawi kwenye ardhi yenye sifa gani? maana nimeanza kufuga tena, baada ya kupata kihampa salama. Tatu, je zile wanazo-promote SUA ndo zenyewe au tofauti?
Homework tamu kama hizi ndo nazipenda, lazima niifanye hii homework kupitia group la wafuga ng`ombe wa maziwa nione kama ubora wowote kwenye majani hayo. stay tuned...mchangiaji mwenzetu hapa JF anatumia id ya JS Farms ndiye mwenye taarifa kuhusu majani ya Juncao ameacha namba simu-:0756625286
..mimi nilikuwa nakuita nikidhani labda una taarifa za ziada kuhusu majani ya Juncao. Nineona hata wizara ya mifugo / katibu mkuu wamesema majani hayo yanaweza kuwa mkombozi.
..kwa upande mwingine nimeona Youtube za Wakenya na Waghana wanasifia majani ya malisho yanaitwa Brachiaria. Sijui kama kuna Watanzania wameyapanda majani hayo.
Naam,..mchangiaji mwenzetu hapa JF anatumia id ya JS Farms ndiye mwenye taarifa kuhusu majani ya Juncao ameacha namba simu-:0756625286