Narudi kuwekeza kijijini

Narudi kuwekeza kijijini

Mkuu Malila za masiku.

tafadhali tunakuhitaji ktk mada hiyo hapo chini.

Mkuu namshukuru Mungu sana,
Pamoja na sarakasi zote zilizotukumba, Mungu aliendelea kutupa pumzi. Kwanza naomba unisaidie vitu kadhaa hapa chini. Moja, mbegu zake zinapatikana wapi, sbb jirani aliniambia anataka kuotesha kwa ajili ya malisho, ila hakunitajia jina. Pili, je zinastawi kwenye ardhi yenye sifa gani? maana nimeanza kufuga tena, baada ya kupata kihampa salama. Tatu, je zile wanazo-promote SUA ndo zenyewe au tofauti?
 
..mchangiaji mwenzetu hapa JF anatumia id ya JS Farms ndiye mwenye taarifa kuhusu majani ya Juncao ameacha namba simu-:0756625286

..mimi nilikuwa nakuita nikidhani labda una taarifa za ziada kuhusu majani ya Juncao. Nineona hata wizara ya mifugo / katibu mkuu wamesema majani hayo yanaweza kuwa mkombozi.

..kwa upande mwingine nimeona Youtube za Wakenya na Waghana wanasifia majani ya malisho yanaitwa Brachiaria. Sijui kama kuna Watanzania wameyapanda majani hayo.
 
Homework tamu kama hizi ndo nazipenda, lazima niifanye hii homework kupitia group la wafuga ng`ombe wa maziwa nione kama ubora wowote kwenye majani hayo. stay tuned.
 
..mchangiaji mwenzetu hapa JF anatumia id ya JS Farms ndiye mwenye taarifa kuhusu majani ya Juncao ameacha namba simu-:0756625286

..mimi nilikuwa nakuita nikidhani labda una taarifa za ziada kuhusu majani ya Juncao. Nineona hata wizara ya mifugo / katibu mkuu wamesema majani hayo yanaweza kuwa mkombozi.

..kwa upande mwingine nimeona Youtube za Wakenya na Waghana wanasifia majani ya malisho yanaitwa Brachiaria. Sijui kama kuna Watanzania wameyapanda majani hayo.
Naam,
Hatimaye nimepata mawili matatu ya Juncao, inapatikana Morogoro kwa dealer mmoja hivi. Na mimi nitaifuata nioteshe kwa ajili ya ng`ombe. Asante sana kwa kunikumbuka mkuu. Be blessed
 
Back
Top Bottom