Narudi nikiwa unstoppable

Narudi nikiwa unstoppable

😀😀😀
Kijana ana shida sehemu, anahangaika na IDs nyingi hapo hapo anakuwa anazipigia misele IDs zenye majina ya kike. Hivi hata kama kweli ni Mwanamke nani atamkubalia ? Maana mpaka hapo anaonekana kama Tqpeli, mtoto mdogo tu msumbufu au mtu asiyejielewa
Halafu kijana ni mtata hadi nje ya Jf.
Alijiunga 2021 ila kacharuka mwaka huu
 
Back
Top Bottom