Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Kwa umri wangu "gwala" najua ni shilingi tano ya Tanzania. Ngoja nitafute mkongojo, kumbe muda umeenda halijojo!Hahaa sawa mkuu iyo hapo [emoji109]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa umri wangu "gwala" najua ni shilingi tano ya Tanzania. Ngoja nitafute mkongojo, kumbe muda umeenda halijojo!Hahaa sawa mkuu iyo hapo [emoji109]
Hahaa sasaiv utaipata wapi iyo shilingi 5 mkuu,imeadimika zaid ya zile zenye tundu katikatiKwa umri wangu "gwala" najua ni shilingi tano ya Tanzania. Ngoja nitafute mkongojo, kumbe muda umeenda halijojo!
Upo wapi..??Jumapili narud tz likizo nna furaha siamini km narud tz, nafurah kuwaona rafiki zangu lakini sikai sana Dar nitakaa siku 3 tu kisha naenda Mwanza kwa Bibi. Eti sasa hivi uko baridi au joto? niwaletee zawadi gani?
Hatari kubwa hii. Hata mia ni adimu lazima ujifunge mkwiji.Hahaa sasaiv utaipata wapi iyo shilingi 5 mkuu,imeadimika zaid ya zile zenye tundu katikati
Aisee Saizi Dar na Mwanza temp. Ipo kati ya 22-27 ... Mimi nipo Dar Msukuma nicheki nikupe uzoefu wa kisasa.Jumapili narud tz likizo nna furaha siamini km narud tz, nafurah kuwaona rafiki zangu lakini sikai sana Dar nitakaa siku 3 tu kisha naenda Mwanza kwa Bibi. Eti sasa hivi uko baridi au joto? niwaletee zawadi gani?
Angalau nimekutoa pangoni. Hujambo bibie? Siku hizi dada zangu wa JF wamepinda kweli hadanganywi mtu. Mwingine oh nimenusurika na emirates nipo five star hotel Dubai yote kwa yote anatafuta free mbunye ila rafiki yako Kasinde amembana kweli Nimenusurika ajali ya Ndege Dubai, ni jambo la kumshukuru MunguUsawa huu wa Magufuli.
No free pumbu
No free mbunye
mambo ya pesa tu
ukifika Tz nitafute manake mchakamchaka wa magufuli sio mchezo, unaweza wakakutumbua mjipu hapohapo airpotJumapili narud tz likizo nna furaha siamini km narud tz, nafurah kuwaona rafiki zangu lakini sikai sana Dar nitakaa siku 3 tu kisha naenda Mwanza kwa Bibi. Eti sasa hivi uko baridi au joto? niwaletee zawadi gani?
Dah...mwana......Dar mvua tu zinatutesa[emoji124] [emoji124]Jumapili narud tz likizo nna furaha siamini km narud tz, nafurah kuwaona rafiki zangu lakini sikai sana Dar nitakaa siku 3 tu kisha naenda Mwanza kwa Bibi. Eti sasa hivi uko baridi au joto? niwaletee zawadi gani?
mara zote nilijua wasukuma wanataniwa tu, kumbe kweli!Jumapili narud tz likizo nna furaha siamini km narud tz, nafurah kuwaona rafiki zangu lakini sikai sana Dar nitakaa siku 3 tu kisha naenda Mwanza kwa Bibi. Eti sasa hivi uko baridi au joto? niwaletee zawadi gani?
Jumapili narud tz likizo nna furaha siamini km narud tz, nafurah kuwaona rafiki zangu lakini sikai sana Dar nitakaa siku 3 tu kisha naenda Mwanza kwa Bibi. Eti sasa hivi uko baridi au joto? niwaletee zawadi gani?
Aaah kumbe unaenda likizooooo nikagikiri unarudi mazima nikushangae haha btw wasalimie sana usisahau kurudi Na sato
Ushangae kurud mazima?? We utafia huko
Ndio mkuu una swali lingine
Ndiyooooo ninalo; unaamini usemi wa no place like home?
Mimi siamini misemo