Narudi Tanzania

Jumapili narud tz likizo nna furaha siamini km narud tz, nafurah kuwaona rafiki zangu lakini sikai sana Dar nitakaa siku 3 tu kisha naenda Mwanza kwa Bibi. Eti sasa hivi uko baridi au joto? niwaletee zawadi gani?
Aisee Saizi Dar na Mwanza temp. Ipo kati ya 22-27 ... Mimi nipo Dar Msukuma nicheki nikupe uzoefu wa kisasa.
 
Umepewa siku 3 na mama wakizungu ukizidisha ndoa huna unarudishwa!
 
Jumapili narud tz likizo nna furaha siamini km narud tz, nafurah kuwaona rafiki zangu lakini sikai sana Dar nitakaa siku 3 tu kisha naenda Mwanza kwa Bibi. Eti sasa hivi uko baridi au joto? niwaletee zawadi gani?
ukifika Tz nitafute manake mchakamchaka wa magufuli sio mchezo, unaweza wakakutumbua mjipu hapohapo airpot
 
Jumapili narud tz likizo nna furaha siamini km narud tz, nafurah kuwaona rafiki zangu lakini sikai sana Dar nitakaa siku 3 tu kisha naenda Mwanza kwa Bibi. Eti sasa hivi uko baridi au joto? niwaletee zawadi gani?
Dah...mwana......Dar mvua tu zinatutesa[emoji124] [emoji124]
 
Jumapili narud tz likizo nna furaha siamini km narud tz, nafurah kuwaona rafiki zangu lakini sikai sana Dar nitakaa siku 3 tu kisha naenda Mwanza kwa Bibi. Eti sasa hivi uko baridi au joto? niwaletee zawadi gani?
mara zote nilijua wasukuma wanataniwa tu, kumbe kweli!
 
Jumapili narud tz likizo nna furaha siamini km narud tz, nafurah kuwaona rafiki zangu lakini sikai sana Dar nitakaa siku 3 tu kisha naenda Mwanza kwa Bibi. Eti sasa hivi uko baridi au joto? niwaletee zawadi gani?

Aaah kumbe unaenda likizooooo nikagikiri unarudi mazima nikushangae haha btw wasalimie sana usisahau kurudi Na sato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…