Narudi tena! Kati ya Mpanda na Morogoro wapi sehemu sahihi kwa hustle?

Makonde plateu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,443
Reaction score
3,480
Wakuu hivi sehemu sahihi ya kiutafutaji katika ya Morogoro na Katavi ipi ni sahihi? Kwa maana ya biashara ya mazao na maduka ya dawa Morogoro maeneo ya Ifakara, Mvomero, Malinyi, Kilombero na Mlimba?
 
Kama unataka kuwa mkulima sawa. Hayo maeneo uliyo yataja ni mazuri sana kwa kilimo. Kama unamtaji nenda kapambane mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…