Narudi tena kwenye Kilimo cha Nyanya. Mniombee

Jamani mimi nataka niweke mbegu chini mwezi huu. Vipi nimechelewa?

God save us
 
Nilikamata milioni sita ya kwanza maishani mwangu kwa kulima nyanya 2001. Naiheshimu sana
 
habari zenu wadau Nam nataka niingie kwenye kilimo Cha nyanya mwezi wa 8 npo
Mwanza,. Je Kati ya Anna na Eden ip itakua nzur kwa kipind io ukiachana na Assila
 
habari zenu wadau Nam nataka niingie kwenye kilimo Cha nyanya mwezi wa 8 npo
Mwanza,. Je Kati ya Anna na Eden ip itakua nzur kwa kipind io ukiachana na Assila
Kama ni Mara yako ya Kwanza kulima usipande Anna F1, hiyo ni nyanya ndefu, mahitaji yake ni changamoto.
 
USiThubutu kumpa mtu hela yeye atoe nguvu kazi kama huna mda wa kwenda shambani kugmfuatilia nini kinaendelea...tena umesema unalima nyanya ndo


KOMA kabisaaa


nasema hivi KOMA.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndio ipoje hiyo mkuu naomba unieleweshe pm,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndio ipoje hiyo mkuu naomba unieleweshe pm,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
April ndio hii ndugu nasubiri mrejesho naamini kuna mengi ya kujifunza
 
April ndio hii ndugu nasubiri mrejesho naamini kuna mengi ya kujifunza
Ni kweli mkui April ndo hii na mambo yanaenda vizuri
Nyanya zimeanza kuiva panapo majaaliwa Wiki ijayo tutaanza kuvuna
Nitaleta mrejesho wa shughuli zima ilivyokwenda na tofauti niliyoiona mara ya kwanza na sasa wapi nilifeli. Nitaeleza kilakitu
 
Mvua zinazoendelea maeneo ya Mafinga, Makambako, Mbeya na Iringa zimekula ekari moja nzima ya shamba la nyanya.

Nimerudi kwenye corona kureflect.
 
Kwanza hela 1.25 ya nyanya kulimwa kwa sh 2 ni kujitakia kufeli tu.


Eka 1 ya nyanya andaa 1.5 Hadi million 2 ukitaka kulimwa nyanya na nyanya ikupe faida kweli otherwise achana na nyanya utadondokea pia Mara ya pili.


Nyanya sio zao la kukimbilia kbs inabidi uwe mwamba kweli kweli
 
Mrejesho mbona hakuna wakuu??
Au niache kuwafokea[emoji23][emoji23][emoji23]
Cc. Motivesheno spikazi
 
huu ugonjwa wa mnyauko ni hatari mno, watalam wa kilimo hetu tusaidieni unasababishwa na nini hasa maana si nyanya tu mazao mengi hukumbwa na zahma hii.
 
Kila LA Heri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…