Narudi tena kwenye Kilimo cha Nyanya. Mniombee

Je unaweza ukapata mavuno/faida kiasi gani?
 
Mkuu nimeipta hii kwangu ni elimu kubwa sana
 
Je unaweza ukapata mavuno/faida kiasi gani?

Kwa eka moja nyanya ya kisasa ni tenga 700-1200 ,tenga za debe tatu.

Ukipata kuanzi 800-1000 tunasema ulihudumia vizuri

Ukipata 1000 kuendelea tunasema mbegu ni bora na shamba lako linarutuba sana ,matunzo mazuri
 
Je unahitaji kulima mahindi na hauna muda wa kusimamia? Au unataka upate mavuno mengi zaidi? Njoo ofisini kwetu.

Ofisi ya YAD yenye wataalamu wabobezi wa kilimo sasa inakuletea mpango wa kusimamia shughuli zote za shambani. Mkulima utatukabidhi shughuli zako pale shambani kwako sisi tutafanya kila kitu kwa utaalamu zaidi na kukukabidhi mazao yako yakiwa yamekomaa. Gharama zetu ni nafuu sana na tunakuhakikishia kwa ekari moja kuvuna mahindi zaidi ya gunia 30. Usihangaike sasa, sisi tupo kwa ajili yako, Kwa Wale ambao hawana mashamba tutakuwezesha kupata mashamba ya kukodi kwa elfu 40 tu na mashamba ya kununua kwa elfu 60 tu hata ukihitaji ekari 100 za kununua utazipata kwa bei hiyo hiyo.

Kwa maelezo zaidi fika ofisini kwetu.
Jengo la NSSF SONGEA
Ghorofa ya 3 chumba no. 317
Simu. 0621133117
 
Mkuu mrejesho wako hatujaupata tafadhali
 
Mkuu mwezi wa nne ndio huu tupe mrejesho😅
 
Katika kilimo hiki nyanya zilipofikia hatua ya kukomaa ziliingiliwa na ugonjwa wa wadudu na mnyauko hivyo mwisho wa siku sikuvuna hata ndoo moja ya nyanya.
Nimejaribu kufuatilia mno kiini cha ugonjwa huu ni kipi maana kinaathiri si nyanya tu bali mazao mengi - jibu ni kwamba ugonjwa hauna dawa maalum unachoshauriwa ni ku-treate ardhi yako vizuri na kupata mbegu bora.
 
Jamaa alikimbia jumla bila kutoa mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…