Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Chama ana uwezo wa kuwaotea timu ndogo na sio mchezaji wa mechi kubwa kubwa.Yule ni Mzee mwenzetu, ni zaidi ya miaka 40 ndio maana RS wakashtuka huyu mzee tumemsajili wa nini, wakaachana naye!
Kama mchezaji wa nje unashindwa kutoa outstanding perfomance kwenye games za derby consistently ni kazi bure kabisa.Mtoa mada yuko sahihi chama ni mchezaji wa kawaida wakucheza kwenye space anapokutana na ihefu hawezi kabisa kusajiliwa na timu yoyote kubwa.
Mkibisha mpangeni derby ijayo tuwakamue tena
Hata Morison mlikuwa mnamsema hivyohivyo sijui hata Ile kesi ya shabiki wenu aliyechomwa na kitu chenye ncha kali imeishia wapiHatukuwahi kumuhitaji Manzoki.
Profile yake haina tofauti na Makambo wa sasa hivi.
Ni timu ndogo kama Rivers united?Nkana FC ni timu ndogo.
Kaangalie kwenye msimamo iko nafasi gani.
Ndio maana nasema Chama ni mchezaji wa timu ndogo.
Hana maajabuUmesahau aliwafanya nini pale kwa Mkapa kile kipindi cha kwanza mlipoutafuta kwa tochi, mkaja kupumua baada ya kocha kumtoa, uto una kumbukumbu fupi sana.
Leo huku kwetu ni mlete..... mlete.....mlete...!!
Mkuu muongezee na zile za CAF ajue yeye ni mpumbavu
Hivi nyie na hyo Derby mnajua mpk mnatia aibu yan derby ndo imekua kipimo? Yani bado simba mnaiwek kwenye level ya derby?? Nyie mnalogaaaa mngekua hamlogi msingekua mnafungwa na vitimu vidogo endeleeni kuloga mtafute umaarufu wa kumfunga mnyama kimataifa mtapasikia tuu kama kipimo chenu ni derbyChamaa ni tishio kwa nani?
Amecheza KariakooDerby 8 mpaka sasa. Amefunga goli 1 tu katika kipindi hiko chote.
Hivi nyie na hyo Derby mnajua mpk mnatia aibu yan derby ndo imekua kipimo? Yani bado simba mnaiwek kwenye level ya derby?? Nyie mnalogaaaa mngekua hamlogi msingekua mnafungwa na vitimu vidogo endeleeni kuloga mtafute umaarufu wa kumfunga mnyama kimataifa mtapasikia tuu kama kipimo chenu ni derby
Hata zile 4 alizokufa yanga pale lupaso...Chama alikuwa mbovu. Sema ni vile tu tumeumbiwa kusahau[emoji23][emoji23][emoji23]Ulishawahi kujiuliza kwanini huyu dogo anafanya vyema sana akiwa anacheza na timu za mikoani? Hivi kwanini akiwa nje ya Lupaso hana maajabu sana?
Ushawahi kujiuliza kwanini ameshindwa kuperfom vyema kwenye medani za waarabu tena nyakati mbili tofauti?
Yea. Jibu ni "Huyu ni mchezaji wa mechi ndogo" yaani uwezo wake unategemea pakubwa mapungufu ya mpinzani. Dogo hajawahi kutoa "WOW" type of perfomance katika medani kuu za soka barani afrika.
Yaani kiufupi ndio hivyo. Ndio maana hajawahi hata kumaliza dakika 90 kwenye Kariakoo Derby yeyote ile aliyo cheza, licha ya uwezo wake mnao uona kila siku.
Kibaya zaidi hana uwezo wa kuibeba timu, yaani timu ikiwa katika hali ya kuhitaji individual brilliance Chama hawezi kukupa hiko kitu.
Ni sawa kuonekanaa anaweza weza pale Simba kwa sababu klabu kwa sasa haina kariba ya wachezaji wa hadhi ya juu.
Chama hakufanya mtu yoyote chochote hana maajabu yoyote lete mzungu wewe mavi ya kale hayanuki acha ubishoo tufungeni hivi sasa kuna Rais Injinia na Super Sub Professor Nabi kama mnaweza! !@$###€_Umesahau aliwafanya nini pale kwa Mkapa kile kipindi cha kwanza mlipoutafuta kwa tochi, mkaja kupumua baada ya kocha kumtoa, uto una kumbukumbu fupi sana.
Leo huku kwetu ni mlete..... mlete.....mlete...!!