Narudia tena, CHAMA ni mchezaji wa mechi ndogo

Narudia tena, CHAMA ni mchezaji wa mechi ndogo

Tafuta clip ya Simba vs Vita, Simba vs Nkana halafu ndio uje kuandika vizuri, fala mkubwa ww
 
Yani pale mtu anapoandika uzi kumnyea mtu ambae anaona kabisa ni tishio any way vinyesi ni vyenu nyie vifurumisheni tuu
Chamaa ni tishio kwa nani?

Amecheza KariakooDerby 8 mpaka sasa. Amefunga goli 1 tu katika kipindi hiko chote.
 
Yule ni Mzee mwenzetu, ni zaidi ya miaka 40 ndio maana RS wakashtuka huyu mzee tumemsajili wa nini, wakaachana naye!
Chama ana uwezo wa kuwaotea timu ndogo na sio mchezaji wa mechi kubwa kubwa.

Kule Berkane ilikuwa kimbembe maana kuna Wydad Raja Far Rabat umeona mziki huo.

Ndio maana pamemshindwa kule.
 
Mtoa mada yuko sahihi chama ni mchezaji wa kawaida wakucheza kwenye space anapokutana na ihefu hawezi kabisa kusajiliwa na timu yoyote kubwa.

Mkibisha mpangeni derby ijayo tuwakamue tena
Kama mchezaji wa nje unashindwa kutoa outstanding perfomance kwenye games za derby consistently ni kazi bure kabisa.
 
Kwan lile goli la kwanza si lilifungwa na yeye akiwa ndani? Kubalin kua hana maajabu
 
Umesahau aliwafanya nini pale kwa Mkapa kile kipindi cha kwanza mlipoutafuta kwa tochi, mkaja kupumua baada ya kocha kumtoa, uto una kumbukumbu fupi sana.

Leo huku kwetu ni mlete..... mlete.....mlete...!!
Hana maajabu
 
Sisi yanga tunaomba mungu chama asiondoke tuendelee kuwaonyesha panapo vuja maana mapenzi yamewajaa
 
Chamaa ni tishio kwa nani?

Amecheza KariakooDerby 8 mpaka sasa. Amefunga goli 1 tu katika kipindi hiko chote.
Hivi nyie na hyo Derby mnajua mpk mnatia aibu yan derby ndo imekua kipimo? Yani bado simba mnaiwek kwenye level ya derby?? Nyie mnalogaaaa mngekua hamlogi msingekua mnafungwa na vitimu vidogo endeleeni kuloga mtafute umaarufu wa kumfunga mnyama kimataifa mtapasikia tuu kama kipimo chenu ni derby
 
Sawa mabingwa wa Africa sisi tutaendelea kuwakanda tu vijana wa muhindi
 
Ulishawahi kujiuliza kwanini huyu dogo anafanya vyema sana akiwa anacheza na timu za mikoani? Hivi kwanini akiwa nje ya Lupaso hana maajabu sana?

Ushawahi kujiuliza kwanini ameshindwa kuperfom vyema kwenye medani za waarabu tena nyakati mbili tofauti?

Yea. Jibu ni "Huyu ni mchezaji wa mechi ndogo" yaani uwezo wake unategemea pakubwa mapungufu ya mpinzani. Dogo hajawahi kutoa "WOW" type of perfomance katika medani kuu za soka barani afrika.

Yaani kiufupi ndio hivyo. Ndio maana hajawahi hata kumaliza dakika 90 kwenye Kariakoo Derby yeyote ile aliyo cheza, licha ya uwezo wake mnao uona kila siku.

Kibaya zaidi hana uwezo wa kuibeba timu, yaani timu ikiwa katika hali ya kuhitaji individual brilliance Chama hawezi kukupa hiko kitu.

Ni sawa kuonekanaa anaweza weza pale Simba kwa sababu klabu kwa sasa haina kariba ya wachezaji wa hadhi ya juu.
Hata zile 4 alizokufa yanga pale lupaso...Chama alikuwa mbovu. Sema ni vile tu tumeumbiwa kusahau[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umesahau aliwafanya nini pale kwa Mkapa kile kipindi cha kwanza mlipoutafuta kwa tochi, mkaja kupumua baada ya kocha kumtoa, uto una kumbukumbu fupi sana.

Leo huku kwetu ni mlete..... mlete.....mlete...!!
Chama hakufanya mtu yoyote chochote hana maajabu yoyote lete mzungu wewe mavi ya kale hayanuki acha ubishoo tufungeni hivi sasa kuna Rais Injinia na Super Sub Professor Nabi kama mnaweza! !@$###€_
 
Back
Top Bottom