Ndala ndefu
JF-Expert Member
- Dec 24, 2012
- 237
- 42
Si umPM. Halafu anapatikana siasa sio MMU.
NB, usisahau kumcc Mwigulu Nchemba
Nimeamka vyema, l thank God.
Huyu anahamu ya "......vyenye ncha kali"
Mkuu humuogopi SAVIMBI??
utabambikiziwa kesi muda si mrefu.....
Pigia pull!Kiukweli huyu binti kila nimwonapo ktk picha napata hisia kali juu yake, mpaka nimebandika picha zake chumbani kwangu. Kwa ufupi nampenda sana huyu dada, naomba yeyote atakaeweza kunikutanisha nae anisaidie au kama yeye huwa anapitia jukwaa hili ntafurahi sana hata akiwa karibu na mimi. Naomba tuweke utani pembeni ktk hili maana nipo serious na hizi ni hisia zangu juu ya binti huyu.
Hongera kwa kuwa jasiri kiasi hicho. Kuna Mpwa wangu mwingine sijui ni wewe alikua anamtaka Halima Mdee, sijui alifanikiwa hata sijui