Narudia tena jamani, kiukweli nampenda sana JULIANA SHONZA kutoka moyoni, nifanyeje?

Narudia tena jamani, kiukweli nampenda sana JULIANA SHONZA kutoka moyoni, nifanyeje?

Sijawahi kupenda mwanasiasa mwingine zaidi ya huyu dada, Juliana ndio chaguo langu pekee!
Unamtaka kwa ajili ya kuoa ua kwa ajili ya starehe zako tu. To my opinion kuoa mke mwanasiasa ni kutafuta pressure zisizo za lazima. Otherwise wote muwe wanasiasa.
 
Kiukweli huyu binti kila nimwonapo ktk picha napata hisia kali juu yake, mpaka nimebandika picha zake chumbani kwangu. Kwa ufupi nampenda sana huyu dada, naomba yeyote atakaeweza kunikutanisha nae anisaidie au kama yeye huwa anapitia jukwaa hili ntafurahi sana hata akiwa karibu na mimi. Naomba tuweke utani pembeni ktk hili maana nipo serious na hizi ni hisia zangu juu ya binti huyu.
Chunga tamaa mbaya by 20%
 
Ubatili mtupu...hakuna lolote,kula kulingana na urefu wa kamba yako!
 
Mi nimechapa sana pale,yan uzuri wa mkakasi kati kipande cha mti!haridhiki yule nlishawahi kupiga 8 bado anataka toka siku hiyo nimevua gamba
 
Back
Top Bottom