Narudia tena jamani, kiukweli nampenda sana JULIANA SHONZA kutoka moyoni, nifanyeje?

Nakusikitikia sana. Hivi unamjua vizuri huyo dada au unamsoma tu humu JF?

Kitabia ni mchafu sana, nasikia katembea sana na vigogo kadhaa wa CHADEMA kabla makada wa CCM nao kuanza kumtafuna.

Okay, kwanza jaribu kuwasiliana na Zitto, Mwampamba na Mwigulu ili wakupe go on or turn back!!
 

Nashukuru kwa ushauri, ila mapenzi ni upofu pia tabia ya mtu yaweza kubadilika km muhusika akiamua kubadili tabia yake.
 

Duuuh kazi ipo ....fanya kama umekosea peleka msg kule SIASA utapata majibu ya haraka zaidi na moyo wako utatulizwa
 
Sasa ya nini kujitesa wakati mtu mwenyewe yuko tz hapahapa jamani? kama ulivyosema humuogopi mtu basi jitoe muhanga naamini utakuwa unafahamu hata ofisi zake zilipo au maeneo anayoishi hebu jaribu kwenda sehemu hizo kuliko kuja kulalamika hapa.
 

Well, kumbe tupo wengi?
Braza nakusihi uache kabisa kumtamani Mke wangu yule. :A S-fire1:

 
Jivike moyo wa savimbi usijali kama kuna watu wanakula mzigo songa mbele utapata unachotaka,mbona savimbi mbali ya kujua mwanamke huyu ni mke wa mtu hajali anasongesha majeshi mbele na anafanikiwa ndio maana kufumaniwa, kwake sio issue.
 
ndo huyu binti eliyekuwa anasema alichemsha kutoka chdema na kwenda ccm? ila strategy ya wanawake ni rahisis wewe tafuta anakula wapi jitoe muhanga whatever the case akikataa sio mwish wa maisha tena utakuwa huru akisha kataa, wla hutakuwa ukimtamani tena. ila sasa hivi ukisikia mtu anakula unashtuka. strategy nyingine tafuta demu mzuri kama huyo utamsahau tu. wanawake ni kama maua. utaona moja hapa zuri ukizunguka upande mwingine unakuta zuri kuliko lile. nenda pale mabibo hostel getini asubuhi wakati wanatoka kwenda chuo. utamsahau huyo binti. na tena kwa kuogopa kujitoa mhanga kunasababisha hawa wasichana wazuri unakuta wanaliwa na watu wa hvyo hovyo tu
 

Jamaa yangu nakushauri bora umPM au mtafute kwenye facebook watu wasikuvuje moyo kwani kipenda roho hula nyuma mbichi na haina shobo hiyo, Masihi aliwauliza ni nani asiyefanya mambo haya na ampige jiwe yule kahaba aliyeletwa kwake, huku akiandikaandika chini kuja kunyanyua kichwa wanaume wote ameshapote, akamwambie ee Mwanamke enenda zako.
Chezea mashine weye kila mtu anapenda sema tu tuanjifanya hatu............................
 
Thanx member, namba yako itanisaidia sana ktk kutimiza lengo langu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…