Pre GE2025 Narudia tena Uchaguzi wa 2025 utakuwa mgumu sana Usidanganyike na Siasa za 2030!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ni angalizo tu sisi tunaoangalia kwa jicho la rohoni tunaiona mbali sana

Uchaguzi ujao kila tutakapojikwaa tutategemea Ushauri na Uzoefu wa mstaafu mmoja tu aliyebaki Mzee wetu mpendwa JK

Wapinzani watapokea Wanaccm wengi watakaofeli kura za maoni kama ilivyokuwa 2015

Ahsanteni Sana 🐼

cc: mzee Mgaya
 
Kila mwaka wa uchanguzi ni hizo huzo kauli ila ukiisha ndo mnaanza lazima tuwe na tume ua uchanguzi huru, baada ya kushuhudia kushindo cha 70% hi nchi yangu ni raha tu
 
Maeneo machache tu. Ngorongoro, Arusha, Moshi, Mbeya, Iringa na mwanza. Kwingineko kote CCM inashinda misa ya kwanza tu na Samia anaendelea hadi 2030.
 
Jo mara hii unaliwa kichwa na wajumbe ukiwa jimbu la muishimiwa mmbeya,ama lindo,ama chatu.
 
Kwanza huyo mzee mstaafu siyo mpendwa kwa wote. Labda kwako wewe.
 
Yawezekana uko sahihi ndio mana hata ushirikina umeanza mapema πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…